Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle



Hahaha!, halafu nilikuwa najiuliza is she really sober?!, maana sio kujikausha huku bila soni wala aibu kwenye harusi za watoto wa mwanamke mwenzie..
 
Kabla ya William kuna Charles ambaye ndiye baba yao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hii kauli inachekesha hata kwa mke wa kiba tulitakiwa tuige mavazi yake simpel saiv tena tunahamishiwa kwa meghan aiseee
Jamani ma bi harusi wa kibongo/kifrika ya kujifunza yapo
Simple dress and makeup....less is more
 
Hahaha!, halafu nilikuwa najiuliza is she really sober?!, maana sio kujikausha huku bila soni wala aibu kwenye harusi za watoto wa mwanamke mwenzie..
Camilla mkavuu we acha tu!

Yule hanaga soni, yule alikuwa anamtukana Di laivu bila aibuu!

Diana alizidi nae upole! Angelifata alibamize ukutani na mipombe yake!
 
Hivi kwenye huo mstari wanaosubiri wanaangalia na gender pia?!, kwamba Charlotte anapitwa na mdogo wake wa kiume, na anapitwa na uncle wake Harry, kwa sababu yeye ni wa kike?!
Muongo huyo achana nae katika lineage wanaangalia mtoto wa kwanza naye akipata watoto atarithi mtoto wake wa kwanza au akifariki au kupata matatizo wanarithi wa 2
 
Watu wanampenda sana Harry kwa hiyo I don’t care attitude yake. Lunch time anaweza kuingia Mac Donald na minder wake wakapata burger safi. Hayo William hayawezi.
William anaandaliwa kuwa mrithi baada ya baba yake kuna mambo hawezi Fanya Harry anafanya kwasababu Ufalme hawezi pata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…