Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Tujuze Wit kumbe kabla ya Dodi, what happened?

Halafu kumbe Harrods ni zake?!
Yes yale maduka ya Harrods ni ya mzee Fayed!

Yule mzee alinyimwaga uraia wa uingereza , kufatilia sosi akajua ni Queen kamuekea kauzibe!

Kisa na sababu yule mzee ni mzinguaji kwenye mambo ya kodi na ana mambo flani sitayataja kwa usalama wangu

Akaja akazidi kulikoroga baada ya kumuapproch Liz na akapewa za uso!

So wale ni wana matifu kabla hata ya Diana na chalz kuoana!

Labda at least ningeambiwa Fayed alitaka Di awe na Dodi ili kumkomesha Liz! Only this...
 
Kweli harry yupo huru sana mfano harusin leo,harry alikua free kugeuka geuka kanisan na kutaniana na wenzie ila william katulia tu na anaongea kwa step
William anaandaliwa kuwa mrithi baada ya baba yake kuna mambo hawezi Fanya Harry anafanya kwasababu Ufalme hawezi pata
 
Harrods imeuzwa kwa waraabu wa Qatar
 
Saana!, lakini sidhani watathubutu kumbagua?!
Nalendwa watu huku umesikia wanakwambia anaweza kumalizwa hata be4 hajaconceive we unashangaa kubaguliwa!

Kiukweli Buckingham palace hatakiwi black trust me

Yaan Harry bangi zake aziangalie vizuri, sijui lkn!
 
Kweli harry yupo huru sana mfano harusin leo,harry alikua free kugeuka geuka kanisan na kutaniana na wenzie ila william katulia tu na anaongea kwa step
Hata katika familia nyingi zinazokulia vijijini kijana wa kiume wa kwanza kuzaliwa huwa anafundishwa na baba yake namna ya kuwaongoza wenzake na wengi huwa siyo watu wa kujichanganya, kwni mambo wanayoyafikiria na heshima wanayopata huwafanya kuwa serious
 
Hunishindi Mimi...Di kafa nikiwa mtoto kabisa, but kutokana na familia yangu kuifatilia hiyo familia nikajikuta napenda kujua mambo yao! Basi nikajiapiza siku nikikua nikawa na life langu ntawafatilia kila step[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ile style yake ya vile vijihereni "" nilikuwa na vipenda mnooo"" aisee..
 
Fulham iliuzwa, Faye’s anaishi Greece Uingereza hana hamu nayo
Amehamia Greece?

Ni ile kesi ya kutaka damu ya mtoto wake irudi imemgharimu?

Yule uraia wa uingereza kanyimwa mpaka kesho!

Maskini mzee wa watu!
 


Hehe, aseh!, halafu mbaya wao Princess Di ndo akaenda kuwa na mtoto wake!
Hiyo ni kama payback...lol
 
Halafu ikaja ikawaje sasa? Akageukwa?
Fayed anasisitiza, Dodi na Diana wangeoana; na kwamba alikuwa mjamzito. Anasema waliuawa na vikosi vya usalama vya Uingereza kwa sababu familia ya Kifalme isingevumilia kumwona Diana kapakata kitoto Kiislamu!
Wanaomjua Diana wanajaribu kukanusha madai kuwa Diana alikuwa na mimba, na wakamhakikishia Lord Stevens kuwa mimba kwa Dodi ilikuwa ndoto. Unajua, ukoo wa Kifalme haukutaka aibu kama Diana angeongoka na kuwa Muislamu! Maana yake ni kwamba Mfalme wa baadaye wa Uingereza(Mtoto wa Diana) ambaye pia angekuwa Mkuu wa Kanisa la Uingereza, angepata baba wa kambo(Dodi) Mwarabu; na kwamba Mfalme wa Uingereza angekuwa na ndugu Mwarabu! Mkuu swala di ni pana sana kwa kifupi di ilikuwa lazima aondolewe kwa njia zozote ambazo hazitaacha alama. Kumbuka diana alikuwa anaita hii familia ni yakichawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…