Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Brandy yule first born wake cha kike, baba mtu katangazaga ndoa halafu akala kona kali! Akawa single mother

Mwaka juzi kachumbiwa tena na jamaa mmoja ile kama wiki tu wafunge ndoa jamaa akamtext brandy kuwa kancancel kilakitu! Upo nyonyo?

Haya huyo Alicia keys na uzuri + ustaa kamkwapua Mme wa Mashonda ( Swiss Beatz) jamaa ni marioo full

Alicia anamhonga balaa ili asimkimbie!

So omba Mungu uwe na mibahati humu duniani sio sura, shape, or pesa!
Jamani wanaume hawaachi ushenzi hadi kwa mastaa??
 
Nasikia Harry alikuwa amelewa akawapa mchapo washikaji kuwa Meghan ana papuchi tamu balaa![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wit umeanza kutufunga kamba sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
T


Diana hakumalizwa kwa sababu hiyo mkuu, di alijua siri nyingi za hii famili na alijiapiza kuzianika kwahiyo ilikumnyamazisha ilibidi itengenezwe skendo coz di alikuwa mtu wa watu sana, ndiyo akatafutwa huyo mwarabu.
Siri gani hiyo hebu tupashee hata mbili tatu
 
Back
Top Bottom