witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Di kufa ilimuuma kila mtu!Yaani acha tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Di kufa ilimuuma kila mtu!Yaani acha tu!
Haahhaahah umenikumbusha mbaliNa akina bishanga,richi ,aisha,waridi acha tu mambo yalikua matamu
HiiiiiiiSiri gani hiyo hebu tupashee hata mbili tatu
hahaa...anza kushinda "" CNN kabisaHuu mwaka lazima nimzidii kujua habari zaidii ngoja nimfanyie kazii
Mke wa Idriss utafikiri katoka kujifungua!Kweli hamna fazi la kutiiiisha. Walivaa kawaida tu. Mke wa Idris ndo kanchefua
Ndevu zake kama brush ya test tube[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mcheki bwana harusi ana ndevu zake za kila siku hehehehe ingekua huku angeweka sijui kalikiti ile au relaxer na mbwembwe kibao
Ila hizo gari za kofalme bei ghali sana
Nimeshangaa kweli..huyu mzee hakosagi haya matukio au hajaalikwaa?Mzee wangu kikwete sijamuona??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mtuNdevu zake kama brush ya test tube
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]Jamani hivi Meghan kaweka make-up kweli?!!
She look super Classy!!!!
Ila yule mama alovaa kitenge kazingua. Utasema anaattend harusi zetu za kiswahiliWeusi wa kutosha tu kwenye Royal Wedding, mpaka kwenye choir hadi raha! 🙂
Mke wa Idriss utafikiri katoka kujifungua!
Ila yule mama alovaa kitenge kazingua. Utasema anaattend harusi zetu za kiswahili
Uko sahihi, wasanii ni watu hopeless na tabia chafu! Ameokoteza huko Marekeni wakati Uingereza wapo warembo, sasa hili liigizaji wapi na wapi!Nimuonee wivu wa nini Mkuu; anaaibisha royal family tu huyo kwenda kuokota masanii ya kimarekani. Kweli nioneshe rafiki zako nami nitakuambia tabia yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani tushazoea vigelegele. Mambo kimya kimya tu
Oprah kazidi kuwa mbibi hajapendeza hataa!Mmemuona Oprah? kofia yake imekaa Kimarekani zaidi lakini..
Amar Clooney kapendeza sana
Mke wa Idriss utafikiri katoka kujifungua!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda google search uone Charles kasimamia harusi ngapi then utanambia!
Ndo zake hizoo
Haaahaaa...mzee wa vilivyosuswa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]