Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Nimuonee wivu wa nini Mkuu; anaaibisha royal family tu huyo kwenda kuokota masanii ya kimarekani. Kweli nioneshe rafiki zako nami nitakuambia tabia yako.
Uko sahihi, wasanii ni watu hopeless na tabia chafu! Ameokoteza huko Marekeni wakati Uingereza wapo warembo, sasa hili liigizaji wapi na wapi!
 
Mmemuona Oprah? kofia yake imekaa Kimarekani zaidi lakini..
Amar Clooney kapendeza sana
Oprah kazidi kuwa mbibi hajapendeza hataa!

Serena Williams kapendeza ila yeboyebo zake zimeshaanza kufumuka!

Clooney katoka chicha na baby wake!

Idriss katoka bomba ila bidada kamuangusha na huo mgauni!

Beckham and his wife look mwaaa!
 
Back
Top Bottom