Nasema uongo shost?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mambo yote yalikuwa chini ya kibibi!Nikuulize kitu unajua ni nani alikuwa ametegesha hivyo vinasa sauti na camera?
Exactly.... Na Liz ndo sababu!Fayed na Phillip wana issue zao za long
Jamani wanaume hawaachi ushenzi hadi kwa mastaa??Brandy yule first born wake cha kike, baba mtu katangazaga ndoa halafu akala kona kali! Akawa single mother
Mwaka juzi kachumbiwa tena na jamaa mmoja ile kama wiki tu wafunge ndoa jamaa akamtext brandy kuwa kancancel kilakitu! Upo nyonyo?
Haya huyo Alicia keys na uzuri + ustaa kamkwapua Mme wa Mashonda ( Swiss Beatz) jamaa ni marioo full
Alicia anamhonga balaa ili asimkimbie!
So omba Mungu uwe na mibahati humu duniani sio sura, shape, or pesa!
Kumbe mkuu unaelewa eeh!Mkuu mambo yote yalikuwa chini ya kibibi!
Mastaa wana dhahabu humo ndani?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani wanaume hawaachi ushenzi hadi kwa mastaa??
Wit umeanza kutufunga kamba sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia Harry alikuwa amelewa akawapa mchapo washikaji kuwa Meghan ana papuchi tamu balaa![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huu mwaka lazima nimzidii kujua habari zaidii ngoja nimfanyie kaziihahaa.. Numbisa nikama Google haumuwezi hata kidogo...
Ahahhaha furahi NalendwaHahaha!, mnafurahisha sana! [emoji28]
True mkuu...Harry akipiga ulabu huwa anaropoka mbayaa!Wit umeanza kutufunga kamba sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kinara wa hii murder anajulikana!
Maskini Charles hausiki walaa yy imemkosti na Camilla wake tu!
Haahahhahahah naomba unipe ufafaanuzihahaa acha masihara basii..." mnamuua nyie kina nani ?
Siri gani hiyo hebu tupashee hata mbili tatuT
Diana hakumalizwa kwa sababu hiyo mkuu, di alijua siri nyingi za hii famili na alijiapiza kuzianika kwahiyo ilikumnyamazisha ilibidi itengenezwe skendo coz di alikuwa mtu wa watu sana, ndiyo akatafutwa huyo mwarabu.
Maskinii. Ndo maana hakua anaonekana kuwa na furahaHuyo Chelsy Davy alilia alivyomwagwa na Harry, sikutegemea angekuja kwenye hii harusi khaaa!
Wazungu wanayaweza!
Kweli hamna fazi la kutiiiisha. Walivaa kawaida tu. Mke wa Idris ndo kanchefuaHii harusi ingekuwa marekani watu wangelipuka balaa. Hata sioni fashion ya kutisha mpaka sasa kwa kweli. I’m so busy kuangalia mavazi ila hola
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo joketi tu kajificha hadi saiv, wazungu wana mioyo ya kipekee
Alijua anaolewa...kakamwagwa paaah!Maskinii. Ndo maana hakua anaonekana kuwa na furaha
Tusimulieni basiiiiDili lili chezwa na baba yake dodi mkuu, hilisakata linamambo mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka nilivyokuwa mdogo nilikuwa nanunuliwa gauni za mtumba za hivyo