Brotherman jamaniBeckham nae ubishoo mpaka uzeeni
Ni nini hiyo kutuwekea matinted machoni, mara kavua mara kavaa haeleweki!
Tuanze hiyo kazi unisaidie na weweKweli unahitaji kumzidi Numbisa shoga angu.
Weweee mfano anamzingua niniMfano mmoja ni Bey....jigga anamzingua bidada ndani mpaka anaomba poo!
But nje wee full furaha huwezi dhania!
Ila Oprah alipendeza. Marekani wengi ni fashionista lazima mbwembwe kidogo wajitofautishe na wengineMmemuona Oprah? kofia yake imekaa Kimarekani zaidi lakini..
Amar Clooney kapendeza sana
Weweee Priyanka alikuwepoooNimemuona Priyanka Chopra muigizaji wa kihindi Africa sijaona
Beyonce yule itakua ana ukuryaa si bureMfano mmoja ni Bey....jigga anamzingua bidada ndani mpaka anaomba poo!
But nje wee full furaha huwezi dhania!
Every family has bad memories. Sasa akitokea mtu anataka kuziweka wazi Siri za familia hiyo tena familia ya kifalme lazma anyamazishwe.Siri gani hiyo hebu tupashee hata mbili tatu
Si nasikia ni mjita jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Beyonce yule itakua ana ukuryaa si bure
Maana ni livumilivuuu loo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16]Si nasikia ni mjita jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo hapoWeweee Priyanka alikuwepooo
Huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha!, huyo alinipita Mzigua! [emoji28]
Mzee wa rejectHaaahaaa...mzee wa vilivyosuswa!
Sikuwahi kabisa [emoji41][emoji41]Wewe hujazivaa
Kumbe super model. Ndo maana mzuriNope ni ndugu yake mama Sabrina!
Sabrina Dhowre msomali aliyebobea marekani!
Super model la kisomali!
Cc. Mama sabrina
Yani kwa mara ya kwanza nimeona kapendeza na kavutia.Serena kuvaa kafundishwa na hicho kiserengeti chake!
Yaan anaweza tupia vitu vikali ila kichwani sasa au viatu khaaa!
NampendaaaBrotherman jamani
Huyo sababu ni bff wa bi harusi. Nae angetoswaNimemuona Priyanka Chopra muigizaji wa kihindi Africa sijaona
Uwe tu mpole na msiri! Kama jamaa ni kibamia au haisimami hadi utie kidole basi yote hayo uyameze.Gharama ya kuolewa na watu wenye power
Ahahahhahaah yaan ni balaa mtu ana pesa zakee anaweza kuishi mwenyewe ila anataka ile status ya mke wa fulan,ila hata Jiga anampenda BeyMaana ni livumilivuuu loo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16]
Hivi wanaogopaga nini kuachika? Au ndo umri ushaenda wanaogopa kuwa single moms?Mfano mmoja ni Bey....jigga anamzingua bidada ndani mpaka anaomba poo!
But nje wee full furaha huwezi dhania!