Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Aisee kizazi cha bikra kimepungua sana za kutafuta kwa tochi
Hata William hakuikuta wajanja walishaiwahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata William hakuikuta wajanja walishaiwahi
Wala hana mtoto wa royalCamilla kaambulia kummiliki huyo Charles but public respect ni big noo!
Hana hata influence yeyote!
Camilla ni nani jamani,ni wa humo kwenye ufalmeWala hana mtoto wa royal
Si ndo hapo...bora hata angefurukuta na uzee ule azae kafuture king or queen...kaingia royal kimagumashi anaendekeza ulabu tuu, mbibi yule mmmh!Wala hana mtoto wa royal
Huyo ndo alimpokonyaga Diana tonge mdomoni!Camilla ni nani jamani,ni wa humo kwenye ufalme
Mange anaishi UK?Hivi mange amesemaje kuhusu hii harusi.
Hivi baba yao kina Harry yupoHuyo ndo alimpokonyaga Diana tonge mdomoni!
Mmmh..sijakusoma!Hivi baba yao kina Harry yupo
Alimpokonya charles
Baba mzazi wa kina Harry yupo au ashakufa naeMmmh..sijakusoma!
Camilla ni nani jamani,ni wa humo kwenye ufalme
Ingekuwa bongo angepakwaaa makeup kama upinde wa mvuaMtoto Meghan!View attachment 781272
Ndo huyo Prince Charles ...ambae Leo kajifanya babaake Meghan kwenye harusi, si umemuona?Baba mzazi wa kina Harry yupo au ashakufa nae
Ahaaaa kwa hiyo kumbe baba yao yupo mpaka leoMama wa kambo wa Prince Harry na William.
Baba mzazi wa kina Harry yupo au ashakufa nae
Heeeee jamani kumbe Sasa si dina wangemuachaga tu walimuua kivipi wakato ashaachana na charlesNdo huyo Prince Charles ...ambae Leo kajifanya babaake Meghan kwenye harusi, si umemuona?