Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Ndo maana hawajaalikwa wengi wangewafunikaa mnooIla Oprah alipendeza. Marekani wengi ni fashionista lazima mbwembwe kidogo wajitofautishe na wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana hawajaalikwa wengi wangewafunikaa mnooIla Oprah alipendeza. Marekani wengi ni fashionista lazima mbwembwe kidogo wajitofautishe na wengine
Meghan kuwa na papuchi tamuuUnabisha Meghan kuwa na papuchi tamu au Harry kumsifia mke wake?
Huyu mama ni naniHuyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 781431
Kumbe ila bonge la ngekewaaHuyo sababu ni bff wa bi harusi. Nae angetoswa
Ahahahahahah maskini wakubwaa mnajadili watu wenye pesa zaoYani kwa mara ya kwanza nimeona kapendeza na kavutia.
Sema wavuta bangi shughuli yao kwa bed si habaa.Ndo kaishalogwa hivoo...huoni full bangi na mipombe na hizo ndevu hanyoi anapunguza tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si ex wa harry kavaa pia kitenge ama
Shost wahi Uzi wa Ontario ujioneeIla inachomaa. Una hela influence mzuri na bado anatokea mngese mmoja anakuumiza.
Msomali mshamba huyooUle mkoti jamani sijui sweta.
Wahi Uzi wa Ontario ujionee khaaa!Tuanze hiyo kazi unisaidie na wewe
Papuchi yake mbayaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Harry mbaya sana. Kamtumia mwenzie halafu akamtosa. 7yrs halafu uniache? Nakuroga wallah
Mie usijaliii. Naona unamuulizia mpaka baba wa Harry nkasema huyu dada ananitia aibu sasa.Tuanze hiyo kazi unisaidie na wewe
Upi?Wahi Uzi wa Ontario ujionee khaaa!
Sababu ya roho ngumu au?Beyonce yule itakua ana ukuryaa si bure
Nope ni ndugu yake mama Sabrina!
Sabrina Dhowre msomali aliyebobea marekani!
Super model la kisomali!
Cc. Mama sabrina
Kabisaa!Mzee wa reject
Halafu hazeekiNampendaaa
Ahahahahahahahah mrembo kweli ila kavaa kama mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nope ni ndugu yake mama Sabrina!
Sabrina Dhowre msomali aliyebobea marekani!
Super model la kisomali!
Cc. Mama sabrina
Yaaaap!Kumbe super model. Ndo maana mzuri
Ndiooo jiga mhuni loohSababu ya roho ngumu au?