Mwanamke acha kulala na kijora!

Mwanamke acha kulala na kijora!

Ila Zina joto kwa sie tusio na Ac ndani..... Tutafutie zile za........ "Jipakulie"
 
Karibuni wapendwa tusaidiane kupunguza ukali wa jua!! 12000 tu
 
Attachments

  • IMG-20230225-WA0014.jpg
    IMG-20230225-WA0014.jpg
    125.1 KB · Views: 9
12000 tu
 
Attachments

  • IMG-20230225-WA0018.jpg
    IMG-20230225-WA0018.jpg
    118.1 KB · Views: 7
  • IMG-20230224-WA0019.jpg
    IMG-20230224-WA0019.jpg
    111.3 KB · Views: 6
Sio ndogo?
Yaani inaweza kuwa XL mi ndo nachanganya mambo... Kuna jambo siku hizi linanikuta, nikienda dukani kununua nguo kila nitakayoipoint haitanitosha, atakayonipointia muuza duka nikijaribu itanitosha!

Usikute akili yangu inaniambia nina mwili wa zamani 🤣
 
Kwa kiasi kg ndio zinadetermine size..

Kwa pajama XL ni kwa vichubby flani
 
Saa 6 usiku khanga imekuvuka
Taqo linabaki waziiii
Hii ndo tamu, ukute hapo tako lina shanga fln hv, pure swahili woman. Mzee nikistuka kukojoa nikawasha taa nikaona hivo hapo utashangaa kitu imo tyr, madem wenye akili akiona hivo anakusetia vzr upige zako kimoja cha midnight chap chap. Hapo hata asbh secretary aje kavaa miniskirt gani sibabaiki wala nini.

Wanawake msione wenzenu wanapewa magari, jiongezeni, vimitego na viutundu vdg vdg kama hivo ndo mambo tunapenda.
 
Back
Top Bottom