Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

Mada nimeipenda sana hasa aina 10,hakuna kitu nachukia kama mtu mwenye kisirani,asiye sahaukitu haraka,mwenye manung'uniko.ukiwa na mtu kama huyo nibora uwe na gunia la dagaa ukampe muuza daga auze akupe pesa ukatumie.

yani wewe umenigusaje? yani umepiga ikulu, lakini siku hizi nimeanza kubadilika aisee. ila asante kwa kunigusa.
 
after all,upungufu wa mtu sio ishu kwani mwingine ni mtoto wa mama lakini no mstaarabu,mwaminifu.mkweli na mtulivu anavumilika .pamoja na ubovu wote alonao.na kuna watu anakero moja kubwa ambayo haibebeki hata ufanyeje .mengine tumuachie Mungu tu
 
Magombe junior swala la kubadili tabia lina nafasi ndogo sasa. Hasa kwa upande
wa wanaume. Wanaume wengi they can prtend kubadilika but akipata demand yake shughuli inaanzia hapo.
 
Ewaaaa... Upo sawa wote ni waKuogopwa kama ukoma!!! Libahili halijishugulishi libishi toto la mama aaaaaargh!!!
 
Halafu hao watu wenye tabia hizo hupata wake wastaarabu sana na wavumilivu.....!
 
Kila kiumbe duniani kina kasoro zake ndo maana tukaumbwa,ukisema unachukia tabia fulan naona mnakosea tens cana mtu akiumbwa yeye ni mtu wa malalamiko ndio hulka yake ilivyo,tuchofanya binadamu kwa mtu kama huyu ni kupunguza kati ya tabia hizo cio kumaliza tatizo,mtu kaumbwa hivyo huwez kutatua tatizo hilo kuisha kabisa bali ni kupunguza wakubwa.
 
Hivi wasio na kasoro hata moja katika hizo wana exist kweli?
Ngoja niweke order.
 
Mada nimeipenda sana hasa aina 10,hakuna kitu nachukia kama mtu mwenye kisirani,asiye sahaukitu haraka,mwenye manung'uniko.ukiwa na mtu kama huyo nibora uwe na gunia la dagaa ukampe muuza daga auze akupe pesa ukatumie.

Hilo ni gubu na kwa kweli linakera,unamkosea mtu January anaongea kosa hilo hilo mpaka December!!
 
umegonga mure mure umetishaaaaa kwene hilo kundi mimi nimo
 




Daaahh big up....Umenena...umekaa na kufikiri kwa kina...Umeelewekaa....Ahsante sanaaa ni kweli uongeayo
 
hivi ndivyo vitu vinavyotakiwa vya kuelimishana...
 
Msichana atakayefuata ushauri huu kamwe hatakuja kuolewa. No one is 100% perfect.

Labda mdada umuumbe mwenza wako mwenyewe. Mtambuzi Real Life haliko Theoritical hivyo usipotoshe wadada wa watu ambao wengi wao kwa sasa ndoa wanazitafuta kwa tochi. Utazidi kuongeza ukubwa wa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…