Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,861
- 810
Mada nimeipenda sana hasa aina 10,hakuna kitu nachukia kama mtu mwenye kisirani,asiye sahaukitu haraka,mwenye manung'uniko.ukiwa na mtu kama huyo nibora uwe na gunia la dagaa ukampe muuza daga auze akupe pesa ukatumie.
yani wewe umenigusaje? yani umepiga ikulu, lakini siku hizi nimeanza kubadilika aisee. ila asante kwa kunigusa.