hahahahahahahahahahaaaa watu8 ngoja nikaku unfriend aisee naogopa sana wanapenda ufalme sana hao watu aisee akisha kuoa ni sawa na amekukanyaga kichwa utakachokisema kwake ni ziro anataka anyenyekewe bila kujali na wewe ni malkia hahahahah ote !!
hela hainunui heshima wala hekima ni kama magharibi na mashariki hata baba yangu alinihusia nikae na nyie mbali nanisimpeleke kwake tehetehetehtehethahahah...itabidi tubadilike lol, lakini ukiachana na hilo sisi watafutaji bhanaa, kwetu hela haisumbui.
Ila usini-unfriend mpendwa teh teh!!!
....hivi leo jumangapi?!?!?
loading..........!!!
hela hainunui heshima wala hekima ni kama magharibi na mashariki hata baba yangu alinihusia nikae na nyie mbali nanisimpeleke kwake tehetehetehtehet
a a a a...mbona kuamshana adrenaline mapema ivi wangu.
Afu nimesahau kuangalia top floor kama usha-login!!! nmebanwa server room...
bora uwe muha wa kigomaa teheteheteheteheloh! Hivi kama kuna kubadilisha uraia wa nchi, basi bila shaka hata kabila inawezekana kubadili...
Nichagulie basi kabila zuri nibadili mie ili nipate nafasi ya kuepuka hiyo namba 5 na nyinginezo...
mi siwezisasa utashangaa wanawake wote 'wakali' wanatoka na wanaume wenye hizo tabia namba 2 (vicheche), namba 6 (utitiri wa watoto) na namba 10 (nundaz)...
mi siwezi
Sasa Mtambuzi ujue vitu vingine ni ngumu kumesa japo waona dalili lakini wajiingiza tu.......ni kama unavutwa vile
sawa tu tabu ya ninibasi we sio 'mkali'...lol
mwambie huyo huko ndiko tunajifunzia wanaume wakoje ati hujapitia huko utatembea na wanaume 100.unakung'uta vumbi unasonga mbelawacha kujilemaza mwanamke wewe........... Akhu, ushaanguka hebu nyanyuka na ukung'ute vumbi usonge mbele!!!!!!!!!!!!!!
bora uwe muha wa kigomaa tehetehetehetehe
...im tayad of sitting and doing "nothing" at all!
ile nyingine itakuwa maana ipo katikati!!!
...utafreeze huko kwenye maseva kisa top floor kumbe sio!!!