Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

Hahahah...itabidi tubadilike lol, lakini ukiachana na hilo sisi watafutaji bhanaa, kwetu hela haisumbui.
Ila usini-unfriend mpendwa teh teh!!!

hahahahahahahahahahaaaa watu8 ngoja nikaku unfriend aisee naogopa sana wanapenda ufalme sana hao watu aisee akisha kuoa ni sawa na amekukanyaga kichwa utakachokisema kwake ni ziro anataka anyenyekewe bila kujali na wewe ni malkia hahahahah ote !!
 
Last edited by a moderator:
hahahah...itabidi tubadilike lol, lakini ukiachana na hilo sisi watafutaji bhanaa, kwetu hela haisumbui.
Ila usini-unfriend mpendwa teh teh!!!
hela hainunui heshima wala hekima ni kama magharibi na mashariki hata baba yangu alinihusia nikae na nyie mbali nanisimpeleke kwake tehetehetehtehet
 
....hivi leo jumangapi?!?!?
loading..........!!!

a a a a...mbona kuamshana adrenaline mapema ivi wangu.

Afu nimesahau kuangalia top floor kama usha-login!!! nmebanwa server room...
 
Loh! hivi kama kuna kubadilisha Uraia wa nchi, basi bila shaka hata kabila inawezekana kubadili...
Nichagulie basi kabila zuri nibadili mie ili nipate nafasi ya kuepuka hiyo namba 5 na nyinginezo...

hela hainunui heshima wala hekima ni kama magharibi na mashariki hata baba yangu alinihusia nikae na nyie mbali nanisimpeleke kwake tehetehetehtehet
 
matambuzi ni somo zuri ila tatizo wananwake wengi hawashughulishi sana akili zao ndio maana wengi wanaishi kwa vicheche na kupigwa mizinga ikiambatana na mateso mengi yasiyoelezeka
 
a a a a...mbona kuamshana adrenaline mapema ivi wangu.

Afu nimesahau kuangalia top floor kama usha-login!!! nmebanwa server room...

...im tayad of sitting and doing "nothing" at all!

ile nyingine itakuwa maana ipo katikati!!!

...utafreeze huko kwenye maseva kisa top floor kumbe sio!!!
 
Nadhani anaekosekana hapo ni mwanaume mwenye sifa kama zangu ambae anadumisha ndoa, na kuvumilia matatizo yoote!
 
loh! Hivi kama kuna kubadilisha uraia wa nchi, basi bila shaka hata kabila inawezekana kubadili...
Nichagulie basi kabila zuri nibadili mie ili nipate nafasi ya kuepuka hiyo namba 5 na nyinginezo...
bora uwe muha wa kigomaa tehetehetehetehe
 
:smile-big:MZEE Mtambuzi LEO UMENIKUNAJEEEEEEEEEEEEEEE................ Like x100000000000000000 hadi kufaaaaaaa!!!!!!

Nasema Ahsante kwa kighula... Erokamo ahinya!!!!!!!!!! :smile-big:
 
Last edited by a moderator:
wacha kujilemaza mwanamke wewe........... Akhu, ushaanguka hebu nyanyuka na ukung'ute vumbi usonge mbele!!!!!!!!!!!!!!
mwambie huyo huko ndiko tunajifunzia wanaume wakoje ati hujapitia huko utatembea na wanaume 100.unakung'uta vumbi unasonga mbela
 
bora uwe muha wa kigomaa tehetehetehetehe

Ngoja nitaongea na Mentor anipe katiba ya hicho chama aisee...
Hao raia huwa ni wapole sana, nilikuwa na rafiki yangu tokea huko wakati nasoma basi kwao ni wapole kuanzia baba, mama hadi kitinda mimba.
 
Last edited by a moderator:
ngoja nitaongea na mentor anipe katiba ya hicho chama aisee...
Hao raia huwa ni wapole sana, nilikuwa na rafiki yangu tokea huko wakati nasoma basi kwao ni wapole kuanzia baba, mama hadi kitinda mimba.
hata yule wangu hivo hivo ila wivu na ghubu lol.
 
Back
Top Bottom