Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

best katika hizo zote kumi umekosa hata sifa moja weye
 
Hahah...kitu pekee ninachokosa ni kukumiss wewe na kutokujua ni namna gani nitakupata.

Mmh kwa wanaonifahamu labda wanielezee maana nimeshakutana na marafiki wengi wa hapa JF zaidi ya 10.

mis u so much best, am hapy dat a met u here once again.afu kumuuliza mtu kuhusu mtu ya nini na wote tupo tz hii hii,
 
...im tayad of sitting and doing "nothing" at all!

ile nyingine itakuwa maana ipo katikati!!!

...utafreeze huko kwenye maseva kisa top floor kumbe sio!!!

Binti wewe...mbona kuntesa ivo kisaikolojia! ntakusemea kwa Sami....!!!!

Ngoja nitaongea na Mentor anipe katiba ya hicho chama aisee...
Hao raia huwa ni wapole sana, nilikuwa na rafiki yangu tokea huko wakati nasoma basi kwao ni wapole kuanzia baba, mama hadi kitinda mimba.

Kaka mkubwa watu8, unazani hawa wadada wanatumia written consitution? just go with the unwritten one utaenjoy maisha...

bora uwe muha wa kigomaa tehetehetehetehe

Wewewewe..Mha na Msafwa ni watu wabishi sijapata kuona mfano wao duniani!!!
 
Last edited by a moderator:
tuachue tunaojua kula na vipofu sie ni bora mbishi utakwepa bishana nao hayo matabia hapo juu utampeleke wapi??????
 
Binti wewe...mbona kuntesa ivo kisaikolojia! ntakusemea kwa Sami....!!!!

aache kukutesa ladyfurahia na ushamba wake wa pantoni....
sasa mie ntakusemea kwa "challenger"......macho nimekazia kwenye mishale ya saa...unafikiri siku zarudi nyuma?!?!?
utabana ngenge weweeee
 
Last edited by a moderator:
mwambie huyo huko ndiko tunajifunzia wanaume wakoje ati hujapitia huko utatembea na wanaume 100.unakung'uta vumbi unasonga mbela

Huwa namwambia kila siku... Tusitumie moyo tutumie akili... otherwise tutaumizwaaaa mpaka kufa aiseeee..!
 
....wapo ferry kwenye mnada wa dagaa...sasa hivi wanatoka watakuja!!!
Ina maana BADILI TABIA kabadili biashara ya kuuza migebuka na sasa anauza dagaa mchele wa ferry au nimekunukuu vibaya...
Kuhusu AshaDii sijakuelewa maana yeye najua anatumia dagaa wa makopo kwa kuogopa kunuka shombo......
 
Last edited by a moderator:
shukrani mtambuzi...ngoja nijipange
Nimepokea shukrani zako kwa mikono miwili, nirushie TIGO Pesa basi nikajipongeze kwa Cotensa pale Leo Tupo Hapa Pub kwa kazi nzuri ......

Namba yangu iko kwa In Box yako..... LOL
 
mis u so much best, am hapy dat a met u here once again.afu kumuuliza mtu kuhusu mtu ya nini na wote tupo tz hii hii,

Hahaha...tatizo ni lokesheni zetu kuwa magharibi na mashariki....rudi basi kipande hii bhanaaa
 
aache kukutesa ladyfurahia na ushamba wake wa pantoni....
sasa mie ntakusemea kwa "challenger"......macho nimekazia kwenye mishale ya saa...unafikiri siku zarudi nyuma?!?!?
utabana ngenge weweeee

Heheh kan't wait mie..ila nna wasiwasi tu akijua tu wapemba wote wikend anahamia kwangu!!!!:shut-mouth:

Af omba Mungu 'doing nothing' isiwepo lazima nikuchonganishe!!!:rockon:
 
Heheh kan't wait mie..ila nna wasiwasi tu akijua tu wapemba wote wikend anahamia kwangu!!!!:shut-mouth:

Af omba Mungu 'doing nothing' isiwepo lazima nikuchonganishe!!!:rockon:

tehtehteee umhamishe kihalali sio kiholela banaaaaaaaaaa............

"doing something" will be there! na hapo utanichonganisha?!!??! loooh we mbayaaaaaaa
 
tehtehteee umhamishe kihalali sio kiholela banaaaaaaaaaa............

"doing something" will be there! na hapo utanichonganisha?!!??! loooh we mbayaaaaaaa

doing something ndo 'chef' ama kitu cha arachuga!?? niliona yale macho lakini nikashindwa kujua ni effect ya maji safi na salama au...!!!
 
network busy...................:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth: thatha baba yangu naomba unitafutie kamchumba ktk marafiki dhako wenye tabia ndhuri kila thiku naambulia koroma.
 
Haya jamani kazi kwenu vijana na wale mlio single. Ushauri mzuri kama ukifuatwa.
 
Kaunga my sist habari za Pasaka, nilisubiri mwaliko hadi dong...Karibu Mtambuzi leo katoa ya moyoni ila hili somo wadogo zetu wa dot.com watalielewa maana kama alivyosema lara 1 approach za kidot.com ni kuangushiana matusi na si kuelewana, Je hizi tabia zitachunguzwa???????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…