Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Ajabu ni kwamba wanawake wengi huwa hawayaoni hayo, mara zote huwa wanaamini baada ya kuanza kuishi na mwanaume labda ataweza kumbadilisha au mwanaume ataweza kubadilika.
Zaidi ya hayo miaka ya karibuni wanawake wamekuwa wanajali zaidi mali kuliko tabia za mwanaume. Wapo tayari kuolewa na mwanaume goigoi mwenye mali za urithi kuliko mwanaume mchapakazi mwenye kipato cha kawaida.
best katika hizo zote kumi umekosa hata sifa moja weye