Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

jamani leo ndo umenikuna sana tena sana my bro Mtambuzi sasa mbona sisi wengine tuko ndani ya ndoa tufanyeje tena au ndo imekula kwetu?
 
Last edited by a moderator:
my husband Mentor irere lya sembo I can't understand you findufiki?
 
Last edited by a moderator:
my husband Mentor irere lya sembo I can't understand you findufiki?
 
Last edited by a moderator:
doing something ndo 'chef' ama kitu cha arachuga!?? niliona yale macho lakini nikashindwa kujua ni effect ya maji safi na salama au...!!!

mhhh sijajua kwakweli.....itajulikana tu!!!!!!!!!!

macho gani tena???
 
Hahahahahahahahahaha
kama kweli mabinti wangekuwa wana masikio wala usinge andika kabisa Mtambuzi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtambuzi una maana huyo Terry apo juu wa "why did I get married" ana watoto lukuki? By the way tumeambiwa "zaeni mkaongezeke"
 
Last edited by a moderator:
kitu umatemate shemeji uongo!
ahahahhahhahahha mna kazi sana i see!

Bila umateumate nani atakukubali? Ukiwa na umateumate mdada anakuona kuwa uko kamili hata kama una madhaifu kumi elfu laki saba themanini na tano.
 

Udambuudambu ndo unawavutia wandele.
 
Mh uko mobile..angalia tu usipitilize kituo mamii!!!

Alafuuuu...eniwei mvumilivu hula mbivu wahenga walisema!!!:rockon:

nawe una mafumbo kama nini sijui au nawe ni mmoja wa wahenga?!?!?
 
yaaaaaaaaaani Mtambuzi haya ni kweli tupu....................... kazi kwao single ladies
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…