Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,560
shukrani mtambuzi...ngoja nijipange
Ila nashauri ushimchunguze sana wakamilifu 100% ni kama hamna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukrani mtambuzi...ngoja nijipange
doing something ndo 'chef' ama kitu cha arachuga!?? niliona yale macho lakini nikashindwa kujua ni effect ya maji safi na salama au...!!!
eti nini mbona ssiielewi hii comment hapa
kitu umatemate shemeji uongo!
ahahahhahhahahha mna kazi sana i see!
Ajabu ni kwamba wanawake wengi huwa hawayaoni hayo, mara zote huwa wanaamini baada ya kuanza kuishi na mwanaume labda ataweza kumbadilisha au mwanaume ataweza kubadilika.
Zaidi ya hayo miaka ya karibuni wanawake wamekuwa wanajali zaidi mali kuliko tabia za mwanaume. Wapo tayari kuolewa na mwanaume goigoi mwenye mali za urithi kuliko mwanaume mchapakazi mwenye kipato cha kawaida.
mhhh sijajua kwakweli.....itajulikana tu!!!!!!!!!!
macho gani tena???
No 2....3....8.....9.......
huyo wa hivyo hata salamu asinipe.....sitaki......
Mh uko mobile..angalia tu usipitilize kituo mamii!!!
Alafuuuu...eniwei mvumilivu hula mbivu wahenga walisema!!!:rockon:
No 2....3....8.....9.......
huyo wa hivyo hata salamu asinipe.....sitaki......