Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

huwa nina simple theorem ikiwa kama kila mtu atavichagua vizuri vibaya vitabaki na nai?simply watu so Life is all about choices
 
magombe junior nafikiri chance ya kubadilika kwa mtu huwa ni ndogo sana,na kubadilika kwenyewe ni mpaka mtu mwenyewe aamue lakini si kwa kushauriwa au kuombwa badilike na famili au mke wake,nimeiexpirience hii maishani mwangu na inaumiza sana.

U a ryt
Huwez kumbadirisha mtu unless aamue tena ni Mungu tu
 
Last edited by a moderator:
ehee! Fathari nmekuona Mgirik yupo jela amekanyaga katiba ya jf unataarifa? Naukumbuka ule uzi aliokuwa anakulilia

Hahahaa haaaa
Aiseeeee itabidi niongee na mheshimiwa akamtoe
 
Last edited by a moderator:
huwa nina simple theorem ikiwa kama kila mtu atavichagua vizuri vibaya vitabaki na nai?simply watu so Life is all about choices

Simple answer
Kila mtu na.mtu wake
i.e kizuri kwako kibaya kwa mwenzio
 
Wewe mwenyewe unaonekana unamatatizo kwanza mbaayaaa pili huna figa so hufai
 
Hongera daudi1 kwa kuwa na sifa hizo zote,mungu akubariki.
 
Ndivyo ilivyo christine ibrahim, ni mtu mwenyewe akiona tabia anayoifanya si njema na ina madhara kwake na aamue kubadilika au neno la Mungu na hofu yake imwingie vilivyo hapo kubadilika kutakuwepo lakini vinginevyo utatokwa povu bure na kujisumbua bure kumtaka mtu abadilke na kuziacha njia zake.
U a ryt
Huwez kumbadirisha mtu unless aamue tena ni Mungu tu
 
Last edited by a moderator:
uuuuwi uuuups sifa zote hizo ntakuwa nimemuumba mimi or?

uisahau dushelele 24/7
hizo ni theory tuu kwa maana wewe ukimuonahafai kwa mwenzio ndo ryt person..
 
uuuuwi uuuups sifa zote hizo ntakuwa nimemuumba mimi or?

uisahau dushelele 24/7
hizo ni theory tuu kwa maana wewe ukimuonahafai kwa mwenzio ndo ryt person..

Haah haaah!
Dushelele ndiyo muhimu liwe active 24/7 maana unaweza Kuwa hand some na unahela ila kama haliko active utaonjewa chumvi mboga yako tu.
 
Ni vyema ukisema kama hii iliwahi kuwekwa hapa na Mzee Mtambuzi

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/430661-mwanamke-aina-10-za-wanaume-wa-kuepuka-kuwa-na-mahusiano-nao-hawa-hapa%85.html

Haah haaah!
Dushelele ndiyo muhimu liwe active 24/7 maana unaweza Kuwa hand some na unahela ila kama haliko active utaonjewa chumvi mboga yako tu.

umeonaeeeh
mimi sifa zooote za nini dushelele ndo muhimu...
afu usiwe unakaa kimya kiivi au mpaka nikuandikie barua?/?
 
haubalance mkuu??weka na wanawake wacyofahaa kuowa
 
Hizo ndizo sifa za midume ya mujini.

Usipokuwa na baadhi ya sifa hizo hakika utaliwa au ataliwa anayehusiana nawe.

Uongo mtupu.
 
Ni vyema ukisema kama hii iliwahi kuwekwa hapa na Mzee Mtambuzi

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/430661-mwanamke-aina-10-za-wanaume-wa-kuepuka-kuwa-na-mahusiano-nao-hawa-hapa%85.html

Haya sasa! !!!!!!!!!

We DAUDI ongeza kuwa na sifa ya wizi mchana kweupe bila hata kufikiri haiko na mwanaume makini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…