HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Hujakosea Mkuu, ila leo ngoja ijadiliwe jinsia ya kiumeWeka na tabia za mwanamke asiyefaa kuwa nae kwenye mahusiano ili I balance.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakosea Mkuu, ila leo ngoja ijadiliwe jinsia ya kiumeWeka na tabia za mwanamke asiyefaa kuwa nae kwenye mahusiano ili I balance.
Kwa maelezo ayo wanaume wa sifa izo wasioe wabak wenyew il wabakie na kero zao!..
Haujawatendea haki.....pia kuna option ya kubadilika ambayo haujaizungumzia!!
Nilidhan ungemaliza kwa kuonyesha chances za kubadil tabia izo ambazo kimsing mwanamke uyo uyo anaweza kua chachu ya kubadil tabia ya mwanaume wa aina izo...
By the way i learn somethin
Hakua mwanaume mwenye sifa zote hizo peke yake hivyo ni nafsi kwa mwanamke kuchagua ambaye anaweza kumvumilia au la asiolewe kabisa
Hongera mkuu jua kuwa mama watoto anakujua maana waswahili wanasema ukimjua mbwa wako jina hakusumbuiMimi ninazo zote ulizozitaja lakn ninaishi vizuri na mke wangu na watoto wanaustawi!!!
Bora umenisaidia mkuu kula tanoHujakosea Mkuu, ila leo ngoja ijadiliwe jinsia ya kiume
Angali hata kichwa cha habari kimeandikwaje hiyo ya upande wa pili itakuja na yenyewe vuta subira ila kwa leo changia hii ya upande mmoja kumbuka hata uvumilivu huisha kama hamna mabadiliko,hujaona watu wanakuja kutangaza talaka humu ndani kwamba hawakuwa na uvumilivu?umeongea point sana mwanamke mzuri yule mvumilivu na chachu ya maendeleo kwa mume wake hata kama ni mlevi au ana tabia mbaya yeye ndo anpaswa aibadilishe na kwa upande wa wanawake mbona wapo wengi ambao hawana vigezo vya kuolewa nilidhani mtoa mada angegusa pande zote mbili badala yake kaegemea upande mmoja
PamojaBora umenisaidia mkuu kula tano
Majina ya nini tena mkuumbona unazunguka sana taja majina bana mfano mtani wangu mshana jr ,Nasema wataje bila woga!
Kwa maelezo ayo wanaume wa sifa izo wasioe wabak wenyew il wabakie na kero zao!..
Haujawatendea haki.....pia kuna option ya kubadilika ambayo haujaizungumzia!!
Nilidhan ungemaliza kwa kuonyesha chances za kubadil tabia izo ambazo kimsing mwanamke uyo uyo anaweza kua chachu ya kubadil tabia ya mwanaume wa aina izo...
By the way i learn somethin
Hahahahahaaa sasa mwanaume naye anatambulika kwa figa au uzuri?Wewe mwenyewe unaonekana unamatatizo kwanza mbaayaaa pili huna figa so hufai
Shida yako ni nini usaidiwe ni "Me"Hivi aliyeanzisha uzi ni me au ke?
Hivi aliyeanzisha uzi ni me au ke?
Huo ni mtazamo hasi na watu kama wewe ndiyo mnao wanyanyasa wanawake eti kwa sababu ya uanaume,kuwa mwanaume haina maana ndo huna haki ya kusema mambo hayafai kufanywa na mwanaume,mbonakun wanaume wanafundisha jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni au hizo huwa hauzioni kwenye mabaya sema na kwenye mazuri sema penye kukosoa kosoa na penye kusifia sifia tu bila kujali wewe ni mwanaume,heu niambie wale watoto omba omba na machokoraa wote wazazi wao walikufa? au mwanaume aligawa mimba akasepa na mwanamke matunzo yakamshinda sasa hili kumbe linatakiwa lisemwe na mwanamke tu? badilika kuwa na mtazamo chanya i hope sijakukwazaNimeshangaa sana.
Inakuwaje mwanaume eti anajikunja kuandika kitu kama hiki au ndo wale madear na mahoney nilopishana nayo kwenye thread flani kule!!!
Na mwanaume mwenye tabia za kike huwa yupo upande wa kike kuelezea habari za wanaume wenzie,naye ni wa kuepukwa na wanaume.
Huo ni mtazamo hasi na watu kama wewe ndiyo mnao wanyanyasa wanawake eti kwa sababu ya uanaume,kuwa mwanaume haina maana ndo huna haki ya kusema mambo hayafai kufanywa na mwanaume,mbonakun wanaume wanafundisha jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni au hizo huwa hauzioni kwenye mabaya sema na kwenye mazuri sema penye kukosoa kosoa na penye kusifia sifia tu bila kujali wewe ni mwanaume,heu niambie wale watoto omba omba na machokoraa wote wazazi wao walikufa? au mwanaume aligawa mimba akasepa na mwanamke matunzo yakamshinda sasa hili kumbe linatakiwa lisemwe na mwanamke tu? badilika kuwa na mtazamo chanya i hope sijakukwaza