Uchaguzi 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

Mmetumwa, huyo kada kindakindaki wa CCM, Chadema not reachable try again later!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaa.. kwamba "atazama nayo", Pascal bhana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ota!
 
Kama anagombea kwa tiketi binafsi ruksa...........

Tunaambiwa kuwa vyama vya siasa ndivyo vinavyowadhamini wagombea, hivi ni lini chama cha Chadema kiliketi na kupitia fomu za wagombea na kulipitisha jina la mgombea huyo??

Kama kawaida CCM ishaanza kupandikiza watu wake na huyo mama ni mmoja wa mapindikizi!

Kwanza katika mazingira ya kawaida huyo mama anapaswa akamatwe na TAKUKURU kwa kuanza kampeni kabla ya muda........

Lakini kwa kuwa atakuwa "amepangwa" na wale jamaa wa kijani, utaona anazidi kupeta tuuu!
 
Akagombee CCM
 
CCM in offing! Similar to Mama Ngwila? CDM to continue to be a springboard to "lishe na nyweshe bora?"
 
Bila tume huru ya uchaguzi nikazi bure kumpa kura huyo Mama
Siwezi kupoteza muda wangu kujitekenya
 
Umetaja mambo mengi ila umesahau kitu kimoja, UWEZO WAKE WA UONGOZI. Kumbu hii ndio sifa kuu.
Kuwa na elimu kubwa sio sifa tosha ya kusema ww ni kiongiz bora. Wala kuandika kitabu sio bado kigezo cha kufanya watu wajue ww ni kiongiz bora.
Unaweza kuwa mwandushi mzuri wa motivational and development books,una elimu kubwa ila usiwe kiongozi bora.ukawa ni kiongozi unae endeshwa na mawazo ya watu au wanachama wa kikundi fulan.

Watanzania sasa wanaitaji kiongiz atakae weza kujisimamia na sio kuendesha na internal na external forces. Mtu ambaye tunajua uwezo wake wa uongozi na tumeishaona impact yake alipokuwa kiongozi.
 
CDM sio suala la kujitangaza tu na hata ccm hawabna hilo.
  1. yeye ni nani ndani ya chama?
  2. Amefanya nini ndani ya chama?
  3. Anaaminika vipi?
Isije ikawa ni wale kivuruge wanaoletwa na 'yule mtu'

Mjumbe wa CCM

Hastahili kupewa chochote

Akagombee ccm kwa pombe
 
Naanza kupata wasi wasi Pascal kiswahili kimekukimbia, wewe sema ni kitu gani alishindwa ili na sisi pia tujue? kama ni da/uro sema utuweke wazi. Tunasubiri ufafanuzi.
 
Huyu anataka akiliwa kichwa aanze kukipaka mbovu chama! Hebu atuondolee upumbavu hapa, watu hata hawajatangaza kuruhusu kutangaza nia yeye tayari ameshaanza na kwenda kwenye mavyombo ya habari?? Upuuzi mtupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…