Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Hizo ni sifa za msingi, ila kuna sifa nyingine ya UAMUZI Pascal ameinyaka kwa mbali ila hataki kutuwekea wazi. Tutajitahidi mpaka hiyo sifa iwekwe wazi ili wanachama wengi wa KE wajitokeza kwenye mchakato.Hivi ndani ya chadema kigezo chakumpa mtu ubunge wa viti maalum au cheo chochote ni kua na elimu tu au ni pamoja na mchango wako ulioutoa kwenye chama?
Ivi uyu mama kumbe yupo serious?Wanabodi,
Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza kujitokeza kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT kwa tiketi ya kupitia Chadema.
View attachment 1459773View attachment 1459775View attachment 1459776
Mimi nimetokea kumfahamu mwanamke huyu, kwanza ni msomi, pili ni mwanamke wa shoka, na anauwezo, yaani kama ni jembe, huyu mdada ni jembe kweli, na ni mwanaharakati wa ukweli ila kuna swali moja tuu najiuliza kumhusu huyu dada
Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii, walikuwa wapi siku zote hizi hadi mtu kama huyu asiteuliwe ubunge viti maalum Chadema, na badala yake Chadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?!.
Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!
Kwa vile mimi namfahamu vizuri huyu dada na niliwahi kumzungumza humu,
Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! - JamiiForums
Huko nilichangia hivi
Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha
Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya
Hivyo naamini, mimi ni miongoni mwa waliomshawishi huyu dada kujiunga Chadema ya enzi ile, na kama amedumu Chadema muda wote huu, bila any recognition ya aina yoyote, then ile Chadema niliyomshauri kujiunga ni Chadema ile, ila kwa Chadema hii...
View attachment 1459777
Kwa wale mtakaopata nafasi, tumsikilize hapa asubuhi hii.
Ushauri wangu kwake ni saa hizi hajachelewa, ajirudie tuu nyumbani kumenoga, Chadema is a sinking ship, asipoamua mapema, ana zama nayo.
All the best Dada Dr. Mayrose Majinge.
Mimi ni Kaka yako Mkubwa
Paskali.
hivi kule ccm mlimfanyeje Membe alipoonyesha nia kwa kiti cha jiweWanabodi,

baada ya Membe atakuwa nani vile au wote wameufyataBaada ya Mwambe sasa ni huyu, atakufa si kifo cha mende tena bali staili ya mbwa.
Yawezekana hakuwepo kwenye mchakato wa viti maalumu kwa sababu walipitia mchakato majimbonisuala ni kujiuliza,kwanini hakupata hata ubunge wa viti maalumu mtu potential kama huyu
ahahahah pale pa waziri kivuli wa fedha nilifurahi sanaMwandishi amempamba sana mgombea
Za kuambiwa changanya nazakwakoYawezekana hakuwepo kwenye mchakato wa viti maalumu kwa sababu walipitia mchakato majimboni
Paschal lipo jambo hutaki kulinena, tatizo sio kulegeza na kulegea hata unapolegea lazima wakulungwa waangalie yaliyomo yamoo[emoji83] we mtu mzima tutakua tumeelewanaWanabodi,
Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza kujitokeza kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT kwa tiketi ya kupitia Chadema.
View attachment 1459773View attachment 1459775View attachment 1459776
Mimi nimetokea kumfahamu mwanamke huyu, kwanza ni msomi, pili ni mwanamke wa shoka, na anauwezo, yaani kama ni jembe, huyu mdada ni jembe kweli, na ni mwanaharakati wa ukweli ila kuna swali moja tuu najiuliza kumhusu huyu dada
Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii, walikuwa wapi siku zote hizi hadi mtu kama huyu asiteuliwe ubunge viti maalum Chadema, na badala yake Chadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?!.
Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!
Kwa vile mimi namfahamu vizuri huyu dada na niliwahi kumzungumza humu,
Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! - JamiiForums
Huko nilichangia hivi
Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha
Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya
Hivyo naamini, mimi ni miongoni mwa waliomshawishi huyu dada kujiunga Chadema ya enzi ile, na kama amedumu Chadema muda wote huu, bila any recognition ya aina yoyote, then ile Chadema niliyomshauri kujiunga ni Chadema ile, ila kwa Chadema hii...
View attachment 1459777
Kwa wale mtakaopata nafasi, tumsikilize hapa asubuhi hii.
Ushauri wangu kwake ni saa hizi hajachelewa, ajirudie tuu nyumbani kumenoga, Chadema is a sinking ship, asipoamua mapema, ana zama nayo.
All the best Dada Dr. Mayrose Majinge.
Mimi ni Kaka yako Mkubwa
Paskali.
Salam wanabodi,
Naona joto la propaganda na uratibu wa visa vya kuandaa "watu fulani" wajitokeze kwenye mambo fulani umeanza kwa kasi!!!
Uzi huu hapa chini umenisukuma kutaka kumjua zaidi mmama huyu aliejitokeza mapema kabisaa kuliko vyama vyote vya upinzani!!
Mwanamke Ajitokeza Kuwania Urais Kupitia Chadema, Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Anauwezo na Jembe Kweli, ila... - JamiiForums
Najua ni haki yake kikatiba,je kwenye siasa,jamii na kimataifa amefanya nini?!! Wote walau tuanze na picha ambatanishi!!!
Salam kwa mwana mama wa 2015 kwenye uraisi,Anna Mghwira!!
Wanabodi,
Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza kujitokeza kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT kwa tiketi ya kupitia Chadema.
View attachment 1459773View attachment 1459775View attachment 1459776
Mimi nimetokea kumfahamu mwanamke huyu, kwanza ni msomi, pili ni mwanamke wa shoka, na anauwezo, yaani kama ni jembe, huyu mdada ni jembe kweli, na ni mwanaharakati wa ukweli ila kuna swali moja tuu najiuliza kumhusu huyu dada
Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii, walikuwa wapi siku zote hizi hadi mtu kama huyu asiteuliwe ubunge viti maalum Chadema, na badala yake Chadema ikatujazia baadhi ya yale makorokocho kule Bungeni?!.
Jibu langu ni moja tuu, kuna uwezekano ni kweli ubunge wa viti maalum Chadema unapatikana kwa namna fulani, ambayo kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada alivyo ni mtu wa msimamo, ni mcha Mungu, hivyo hizo namna za kumpatia ubunge wa viti maalum Chadema zilimshinda akaamua kutulia, sasa kama ubunge tuu wa viti maalum alishindwa kupewa Chadema, kutokana na misimamo ya kukataa mambo fulani, jee sasa kwenye urais ndio atapitishwa?!
Kwa vile mimi namfahamu vizuri huyu dada na niliwahi kumzungumza humu,
Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! - JamiiForums
Huko nilichangia hivi
Haya niliyasema tarehe 3 Agust, 2012, leo nimeiona hii picha
Kiukweli Chadema imevuna Jembe!. Hata BAWACHA itafufuka na itasimama na kuipuku UWT!.
Hongera Mayrose kwa kuukubali ukweli. Nakukumbusha mane yangu haya
Hivyo naamini, mimi ni miongoni mwa waliomshawishi huyu dada kujiunga Chadema ya enzi ile, na kama amedumu Chadema muda wote huu, bila any recognition ya aina yoyote, then ile Chadema niliyomshauri kujiunga ni Chadema ile, ila kwa Chadema hii...
View attachment 1459777
Kwa wale mtakaopata nafasi, tumsikilize hapa asubuhi hii.
Ushauri wangu kwake ni saa hizi hajachelewa, ajirudie tuu nyumbani kumenoga, Chadema is a sinking ship, asipoamua mapema, ana zama nayo.
All the best Dada Dr. Mayrose Majinge.
Mimi ni Kaka yako Mkubwa
Paskali.
at first time nlkua nakuona ni mtu smart sana ulkua unani inspire sanaSisi CCM tunaye Shoka haswa, kuna mizizi mingi ya kukata, Jembe haliwezi hiyo kazi. Jembe au panga hatutaki ni laini sana kwa kung'oa visiki na mizizi iliyokomaa kwa ufisadi. Shoka letu ni Mh. JPM dunia nzima sasa inamjua ni Shoka haswa[emoji28]