Uchaguzi 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

Tunamjua vizuri sana huyo ni agent wa TISS, na hatutamruhusu kutuharibia Chama
 
Project za kitego hizi, huyu mama yuko USA mshikaji wake dk.Slaaa. alikimbiaga baada ya kutofautiana na wenyewe
 
Nimeishagundua PhD means nothing hasa tukija kwa watanzania, nimekaa na watu wengi wenye PhD alafu mkianza kuongelea mambo mbalimbali ya maisha yanayotoka mdomoni mwao unasikia unatamani hata kulia jinsi walivyo na upeo mdogo. Sisemi wote wako hivyo ila goes to show kua PhD ni title tu, what matters ni mtu yeye yukoje, so mtu anayetanguliza PhD mbele namuona ovyo tu.
Angetanguliza mafanikio yake, kafanya nini significant, ana plan zipi ambazo wengine hawana, utendaji wake wa kazi ukoje, that’s more important kuliko cheti chochote kile.

Jiwe mwenyewe ana PhD ya kemia ila angalia baadhi ya mambo anavyokurupuka. PhD zimejaa bungeni totally useless mtu anatamka kitu unajiuliza huyu darasa la saba?
 
Mimi sioni tatizo lolote kwake kutangaza nia....

Kwa sababu utafika ule wakati wa kupepeta mchele na pumba....

Mchele utawekwa kulia na pumba kushoto. Hopefully huyu mama atakuwa upande wa pumba tu...
 
Through the heading I knew your conclusion
 

HAKURUPUKI ILA HAYO NDIYO MAAMUZI YAKE KAMA KIONGOZI, NA UNGEKUWA WEWE PIA UNGEKUWA NA MAAMUZI YAKO KAMA UNAVYOAMUA CHOCHOTE KATIKA FAMILIA YAKO..............ILA KIDUKU WA KULE KOREA MNAMWITAA JEMBE JPM HUKU MNAMWITA MJINGA
 
Kama Chadema ina watu wazuri kama hawa tena wana CV nzito kama hii,
Iko wapi?

Unajaza mada mambo ya pembeni unaacha ya msingi ili watu wamjue.

Alishaongoza chochote huko ndani ya CHADEMA?

Ni nini mchango wake ndani ya chama hicho.

Amefanya nini kukiimarisha chama.

Kwa vile umeshangilia sana "usomi", nikuulize - unalo chapisho lolote lenye jina lake nasi tujue "usomi" wake, au ni porojo tu ambazo sasa zitakuwa zikiambatana na jina lako humu JF!

Imekuwa kawaida sasa. No seriousness on anything!
 
HAKURUPUKI ILA HAYO NDIYO MAAMUZI YAKE KAMA KIONGOZI, NA UNGEKUWA WEWE PIA UNGEKUWA NA MAAMUZI YAKO KAMA UNAVYOAMUA CHOCHOTE KATIKA FAMILIA YAKO..............ILA KIDUKU WA KULE KOREA MNAMWITAA JEMBE JPM HUKU MNAMWITA MJINGA
Huyo 'Kiduku' ukimgusa unanuka. Wewe unadhani kazi hiyo ni ndogo?
Huyu unayemtetea hapa hata haieleweki anatupeleka wapi! Inaonyesha hata yeye hajui tunakoelekea; anajipigia tu bora liende.
 
HAKURUPUKI ILA HAYO NDIYO MAAMUZI YAKE KAMA KIONGOZI, NA UNGEKUWA WEWE PIA UNGEKUWA NA MAAMUZI YAKO KAMA UNAVYOAMUA CHOCHOTE KATIKA FAMILIA YAKO..............ILA KIDUKU WA KULE KOREA MNAMWITAA JEMBE JPM HUKU MNAMWITA MJINGA
Sijasoma ulichoandika, mi ukiniandikia kwa herufi kubwa najua tayari una matatizo, ukifix tatizo lako rudi tena.
 
at first time nlkua nakuona ni mtu smart sana ulkua unani inspire sana

Labda ni mtu smart kweli ila umejitoa ufahamu

Mkulima wa mahindi

Haaa Baba Swahele, being CCM strong
member & supporter it doesn't make someone not to be extremely intelligent, kiukweli Mh. Magufuli kwa sasa ndio wakati wake, utake usitake yeye Magufuli ndio bora kabisa kwa wakati huu, hata umlete nani hapa Tanzania kwa sasa, ebu fikiria vema kwa upole, utulivu, acha ushabiki wowote, just say inside ur inner heart, Magu na mwingine yeyote kwenye siasa kwa sasa nani atamzidi, nasemea kwa sasa, utapata jibu langu, so ikiwa ni hivyo, basi let's support him, i know kama human being anafanya makosa ya hapa na pale, likewise mm nafanya makosa pia, kama ilivyo ww na mwingine, ila Magu is better off at present time, yuko at his prime in leadership kwa Urais kuliko yeyote hapa Tz. So politically, that is my position, but scientifically & my mental power, financial power, am another big dude, ok Baba Swalehe.. Haa, JF tuko as a family kidogo just to pass time na kufurahi au kuvurugana kidogo kwa maneno tukipata muda sbb muda ni mdogo sana kwa sisi wengine, tumia akili vema, make money uishi vema Baba Swalehe, hilo muhimu sana, Siku njema sana nikutakie with brightest future days ahead, na Mungu akubariki in your endeavors, na kwaheriiii. 👋👋
 
AMESHAFELI TAYARI, MASLAHI YA MUME WAKE YATAMUANGUSHA KWA UPANDE WAPILI.....MBOWE HAWEZI KUKUBALI KUMPISHA KITI

Mkubwa naona kama umepitwa kushoto vile na maudhui ya uzi wote kabisa....

Huyu mama hagombei "kiti" cha Ubunge wa Mbowe kule jimbo la Hai, Kilimanjaro ama cha Uenyekiti wa CHADEMA (taifa)....

Huyu ametia nia kugombea "kiti" cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) kwa kudhaminiwa na CHADEMA ambacho kwa sasa "kiti" hicho kinakaliwa na JOHN POMBE MAGUFULI (CCM)....!!

Labda ungesema "MAGUFULI wa CCM" hawezi kumpisha, hapo kidogo ungeeleweka....

Ujumbe muhimu kwako ni kuwa, kabla ya kukomenti, soma article kwa uangalifu na kuelewa "maudhui" yake ndipo unatoa maoni yako......!
 
Kwahiyo pascall unataka kusema huyu Dada aligoma kabisa kumvulia chupi kidume wa taifa Freeman Alkael Mbowe
 
tuko pamoja sana mzee by the way sina chama mkuu si upinzani wala ccm wanaofanya vyema ni Madudu tupu kuna muda nawaza hata hiyo nchi wakipewa wapinzani itakuaje



Mkulima wa mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…