Mwanamke akikosea anaombwa msamaha, Hii imekaaje?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Imewatokea wanaume wengi sana wa Dar! Sisi wa mikoani hatunaga huo ujinga. Yaani mwanamke unampigia simu kwa namba yako anakata... halafu ukipiga kwa namba nyingine inapokelewa.....akisikia sauti yako tu anafoka.."Hivi we mwanaume hujui nipo msibani"

Unabaki Kujibu "SAMAHANI BABY.. NILITAKA KUJUA TU MAREHEMU ANAENDELEAJE! SAMAHANI SANA MY WANGU."
 
imewatokea wanaume wengi sana wa dar! sisi wa mikoani hatunaga huo ujinga..yaani mwanamke unampigia simu kwa namba yako anakata...alafu ukipiga kwa namba nyingine inapokelewa.....akisikia sauti yako tu anafoka.."hivi we mwanaume hujui nipo msibani"

Unabaki Kujibu "SAMAHANI BABY..NILITAKA KUJUA TU MAREHEMU ANAENDELEAJE! SAMAHANI SANA MY WANGU."

Only for a stupid Man!
 
Mwanamke atakuyumbisha tu siku zote cha maana mchukulie Kawaida tu
 
imewatokea wanaume wengi sana wa dar! sisi wa mikoani hatunaga huo ujinga..yaani mwanamke unampigia simu kwa namba yako anakata...alafu ukipiga kwa namba nyingine inapokelewa.....akisikia sauti yako tu anafoka.."hivi we mwanaume hujui nipo msibani"

Unabaki Kujibu "SAMAHANI BABY..NILITAKA KUJUA TU MAREHEMU ANAENDELEAJE! SAMAHANI SANA MY WANGU."
Doooh "MAREHEMU ANAENDELEAJE..".
Huyu mwanaume atakakuwa wa kyamulaile..🤣😁
 
imewatokea wanaume wengi sana wa dar! sisi wa mikoani hatunaga huo ujinga..yaani mwanamke unampigia simu kwa namba yako anakata...alafu ukipiga kwa namba nyingine inapokelewa.....akisikia sauti yako tu anafoka.."hivi we mwanaume hujui nipo msibani"

Unabaki Kujibu "SAMAHANI BABY..NILITAKA KUJUA TU MAREHEMU ANAENDELEAJE! SAMAHANI SANA MY WANGU."
Aiseee na yaliyomkuta Dr. Slaa je?
 
Msipotafuta hela muda si mrefu tutaanza kuwafu....k endeleeni kucheka na kima mwanamke anakufokea na unakenua tu,,
Usipokuwa na hela mwanamke anakuona kma Ng'ombe hivi mara imekaa kwenye kiti au imelala Kitandani 😂🤣🤣😂😁😁
 
Kipigo kwa mwanamke ni jambo muhimu sana na wao wanajua hilo. Usimnyime kipige mpenzi wako
Usijitafutie kesi zisizo na ulazima. Kama mmeshindwana na mwanamke kila mtu anaangalia utaratibu wake tu. Utakuja kuua mtoto wa mtu mkuu.
 
Mwanamke anayekujibu hovyohovyo ni dalili za kutoridhika kitandani. Hivyo basi unashauriwa kuujua vizuri mwili wake na kumchapa na nyama-rungu ipasavyo pale anapoleta tabia za ukaidi. Hii itajenga heshima zaidi na upendo uliotukuka.
 
Msipotafuta hela muda si mrefu tutaanza kuwafu....k endeleeni kucheka na kima mwanamke anakufokea na unakenua tu,,
Unatakiwa umtwange na mtwangio kisawasawa uone kama atakuwa na fyokofyoko
 
Back
Top Bottom