Mwanamke akikosea anaombwa msamaha, Hii imekaaje?

Mwanamke akikosea anaombwa msamaha, Hii imekaaje?

Kipigo kwa mwanamke ni jambo muhimu sana na wao wanajua hilo. Usimnyime kipige mpenzi wako
Mwanamke kupigwa pale ambapo analeta ujinga ni lazima i can not stress this more. Nasema hivi mwanamke akileta ujinga kipigo ni lazimaaaa ndio atakaa ndani mwa nyumba kwa adabu
 
Imewatokea wanaume wengi sana wa Dar! Sisi wa mikoani hatunaga huo ujinga. Yaani mwanamke unampigia simu kwa namba yako anakata... halafu ukipiga kwa namba nyingine inapokelewa.....akisikia sauti yako tu anafoka.."Hivi we mwanaume hujui nipo msibani"

Unabaki Kujibu "SAMAHANI BABY.. NILITAKA KUJUA TU MAREHEMU ANAENDELEAJE! SAMAHANI SANA MY WANGU."
Watu husema ndoa nyingi unazoona zimedumu muda mrefu ni sababu mmoja kajifanya mjinga sasa ujue ndo ujinga wenyewe huo!
 
Imewatokea wanaume wengi sana wa Dar! Sisi wa mikoani hatunaga huo ujinga. Yaani mwanamke unampigia simu kwa namba yako anakata... halafu ukipiga kwa namba nyingine inapokelewa.....akisikia sauti yako tu anafoka.."Hivi we mwanaume hujui nipo msibani"

Unabaki Kujibu "SAMAHANI BABY.. NILITAKA KUJUA TU MAREHEMU ANAENDELEAJE! SAMAHANI SANA MY WANGU."
Siku moja nimekaa club counter afande mmoja mpelelezi wa kituo cha salenda pale ,jitu jeusi lina miraba minne na lafudhi ya wale jamaa zetu wa ile mkoa wa kucharangana mapanga alikuwa amempigia simu mwanamke yaani kwanza alianza kwa kufoka hlf baadae akawa mdogo kama piritoni anamuomba bibie atulie waongee.

Mioyo ya binadamu ni ya ajabu sana ,unaweza kuwa na roho ngumu na katili lkn ukashangaa unapata kiboko yako.
 
Back
Top Bottom