Mwanamke akikuambia "Nipe tu Mimba mtoto nitalea mwenyewe", huo ni mtego, utalea tu

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,762
Reaction score
21,843
Makubaliano ya "Nipe Mimba Tu" ni Mtego na Haramu: Inabainishwa kuwa mwanamke akimwambia mwanamume "nipe tu ujauzito kulea nitalea mwenyewe," huo ni mtego na ni haramu kisheria,,. Makubaliano kama hayo yanalinganishwa na biashara haramu (kama ya bangi) ambayo haina uhalali mbele ya sheria tangu mwanzo.

Aione ShesRise_1

Your browser is not able to display this video.
 
Na ukiingia huo mtego UMEKWISHA!
 

Kila ntu na ntuwe...hata bwana afande naye anataka...anapenda...anahisia...na ana huruma pia.

That is the universal language...we have to come to terms with nature
 
Mambo ya vijana wajinga kizazi cha Singelu, kuzitaka mimba na watoto bila ndoa.
 
Hakuna mtego, mtoto ni baraka. Unaogopa kulea mtoto wako huku unasaidia malezi ya mtoto wa girlfriend kwa Mwanaume mwingine ukiitwa Unlce?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…