Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka

limekwisha timia huku kwingine simalizi mkitaka niuenii..

MWISHO
Na tutakuua kweli ohoooo!

Ulidumu na Hanifa kwa muda gani? Ulikuja kumuoa? Ulimzalisha? Kwa sasa yuko wapi? Ulijifunza nini cha msingi kuhusu wanawake kupitia kisa hiki? Ingekuwa sasa Hanifa ndiyo anakufanyia hivyo, kuna cho chote ambacho ungekibadilisha?

Usipojibu maswali haya kwa ufasaha, kitakachokupata tusilaumiane! 😡
 
Moral of the story:- Penzi kitovu cha uzembe.
Miaka ya mwishoni ya 80, wana music maarufu kutoka Zaire na Congo Brazzaville bwana Aurlus Mabele na Diblo Dibala walianzisha kundi lao la muziki na kuliita kundi lao kama Loketo; lilisheni wana music maarufu wa wakati huo kama Lucian Bokilo, Komba Bilow, nk. Walitoa album moja ya moto sana inakwenda kwa jina la Extra ball, Diblo akiwa kashikiria mpini wa solo, hawakuendelea sana, Dibloa alijitoa kwenye kundi hilo kwasababu Aurlus Mabele kuanza kutembea na ma stage show wake, Diblo akaona "hapa hatuwezi kufanya kazi" aka sepa zake akiwa anafanya music kwa kukodiwa hadi pale alipokuja kuanzisha kundi lake.
 
Daaah ndo story zangu hizi!!!
 
Maswali mazuri, na mimi naongezea


Kikundi chao cha sanaa kilifikia wapi.
 
Loh! Hii ndiyo kama ule uzi wa kula tunda kimasihara, hongera lakini ungeleta muendelezo ingekuwa poa tajiri najua huna baya utaleta
 
Mkuu mchana nitaweka mwendelezo ili kujibu haya maswali, japo majibu yanaweza kuleta maswali mengine pia maana siandiki kwa kufata mtiririko wa uandishi wa script bali naandika tukio kama lilivyotokea.
 
 wanaume tukiwasaidia vitu wanawake japo sio kila mwanamke,ila mara nyingi kuna kawazo kanakuja kanakwambia mwombe mechi. Sasa
najiuliza;
1. Ni mimi tu au hata nyie
2. Ni shetani au ndo wanaume tupo hivyo
Mkuu si umeshasema wanaume sasa ukianza kujiuliza kama ni wewe tu sisi wengine itakiwa unatuleft kwenye Group.
Sisi wote ni ndugu wa baba mmoja (adam)
 
Sawa,vzur

Swali:hukumpa mimba,je ulimuoa
 
Hapana mkuu sikuwahi kumpa mimba, sikumuoa pia.

Tulidumu kwa muda tu baadae tukasababisha mpasuko kwenye Group wana wakanishukia kama mwewe kwamba tumepanga sheria ya kuzuia mahusiano kwenye kundi ili sisi waandamizi tunufaike na matunda ya kikundi. penzi lenyewe lilifia huko, nisimalize ladha kwa kuwa wadau wameomba muendelezo ili kujibu baadhi ya maswali yaliyopo.

Nilitaka kuku reply hapa mkuu Wagumu Tunadumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…