miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Mimi siyo bahili ila sipendi mwanamke anayeinyenyekea pesa! Kwangu kuniomba omba pesa niishara ya kutonifaa!
basi ya ishe loh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siyo bahili ila sipendi mwanamke anayeinyenyekea pesa! Kwangu kuniomba omba pesa niishara ya kutonifaa!
Sasa mnataka tuwaombe hela kina nani?
haturuhusiwi kutoa siri tena hasa hasa ukizihitaji na zinapokua na umuhimu kwako
Sasa mnataka tuwaombe hela kina nani?
dawa ni kuachana na umalaya basi...unakuwa unakwepa mizinga at the same time unajiepusha na maradhi
Sasa mnataka tuwaombe hela kina nani?
sasa kama huna msaada unauliza ya nini?" si ufunge kinywa chako....... unajichetua na maswali ya mtego nikwambie mazuri wakati kiuhalisia ni mabaya hapana kwa kweli......''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' nitakujibu maisha yanataka hela na sina hela embu nitumie laki 5 hapo mar moja......

we waache tu,ngoja pedeshe atawatunzia vizur tu....nimekupenda bure hawajiulizi hawa usipomuhudumia wewe atahudumiwa na nani?
Besti wewe mchezo hutaki?Mchezo mnataka,kuhudumia mnang'aka!!!!
Kama ndio mawazo ya wengi Haya basi nawapa pole wasichana wa Karne hii