Mazoko
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 674
- 184
Yaani mzigo ule wewe na hela tukaombe kwa wazazi? Inahusu?
Wakati wakula mzigo ndiyo nakupa faranga sio nitatue matatizo ya Maisha yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mzigo ule wewe na hela tukaombe kwa wazazi? Inahusu?
4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
Mke mwema anatambulika mapema sana...
Hawa wanaoanza kwa mizinga ya kumi kumi mpaka laki kila siku ndo wanaokuja kuwa wezi wakubwa sana wa pesa za waume zao kwenye ndoa.....
Kuna situation inafika, mwanamke akikuomba pesa, unaitoa mwenyewe kwa moyo mmoja, hapo ujue kuna critic reason..
Sio kila time unaomba pesa kwa sababu zisizo na ubongo!..
Hahahaa... yaan ukinipiga iko kizinga nikikumata nasimamia vidole kabsa... nakupaua yaan mpaka hela yangu irudi
Kanuni ya kupiga mzinga au kukopa ni kwa mhusika kupiga simu wengi wanaotumia sms wengi wao huwa wanabip though wachache huwa wana shida but ili uwezekano wa mzinga wako kufanikiwa ukipiga simu una nafasi kubwa ya kupata. Katika maisha ya kawaida hata kama sio mpenzi wako, mtu yoyote akikukopa ela kwa sms especially wale ambao mnawasiliana mara chache (mara nyingi hata ulipaji wake ni shida au hana shida kubwa kivile though sio wote)hao uwasemao wewe wanajifunza kupiga mizinga, wataalam halisi hawapigi mizinga kwenye msg au sim. Mzinga unapigwa live bila kupepesa macho .... utatoa tu penda usipende!
Atatumia SkypeTeh teh teh. Happy una mambo! Sasa kama kama mpenzi uko mbali nae kwa muda huo, let say mkoa na mkoa utampigaje mzinga live?
Na mume mwema anajulikana mapema sana...kama mwanaume mchoyo anaonekana tu kwamba atakuwa anakuambia uandike matumizi ya hela anazokupa ukiwa mkewe
Unaweza ukazani unaudumia,...kumbe mnaudumia.Hawana garantee hao!tabibumtaratibu em cam zis wei nikuombe hela mie we ndo unafaa mwanaume kutunza banah sio kuwa na mkono wa birika sa usipomhudumia mpenzio nani amhudumie?
Well,
Khantwe umesema vyema.
Binafsi huwa nawakubali sana wanawake wa kichagga. They have economic mind I can darely say that, sio kwamba wanawake wengine hawana au wako empty katika hiyo sector, simaanishi hivyo!
Mwanamke wa kichagga linapokuja suala la pesa, yuko tayari abuni vyanzo vya kuingiza pesa kuliko mirija ya kuchomolea hela, kwa wengi wao sifa hii wanayo.. Big up for that.
Tatizo lenu wanawake ninyi ni kwamba mkishakuwa na mwanaume aitwaye boyfriend, mawazo yenu yote yanalalia katika kuchuna tu na kubeba pesa kupeleka katika matumizi yasiyokuwa na kichwa wala wala miguu!
Imagine kama pesa mnazohongwa na mabwana zenu mngalikuwa mnawekeza japo katika miradi midogo midogo tu,
Enjoy this..
Ni mtazamo tu!
Nawewe mke mtalajiwa tutajuaje kua umetupanga!....sasa wewe si mume mtajarajiwa tutajuaje kama majukumu unayaweza?
Na mtachunwa mpaka mpauke...... Wanawake wameshagundua michezo yenu michafu. Hamna mapenzi kabsa mnafikiria kuwatumia kingono then mnawamwaga. Na mimi nasema mchunwe tu maana hakuna namna nyingine...eeh tumeshachoka sasa.
Lace wig linauzwa tshs 1,000,000/- original sijui kufanyajekufanyaje. Hapo bado kubandikwa. Hebu acha ubahili
Lazima akuambie uandike,...si anatafuta yeye?..acha utegemezi kama hupendi kufuatiliwa!Na mume mwema anajulikana mapema sana...kama mwanaume mchoyo anaonekana tu kwamba atakuwa anakuambia uandike matumizi ya hela anazokupa ukiwa mkewe
Hivi kumbe mnatumika? mmekuwa vocha au chakula?
khantwe, blame no one when it comes to relationship..! Jamani mapenzi nayo ni Contract, it is ana agreement between two parties! a man and a woman!
Kama ulijipa muda wa kunifikiria zaidi ya mwezi ama wiki etc, wewe utasemaje unatumika?
Au mkataba wako uliusain kwamba unaenda kutumika?
Mwanamke ukishajiwekea mawazo ya kuwa na mahusiano ya kuchuna, sahau ndoa mapema kabisa! ukibahatika kuolewa, basi kaushia kabisa hako katabia ka kuchuna...
THis is a battle that every lover must fight.