Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Whatever u call it....wanaume hamna jema...unaweza ukajishusha ukawa unashikamana na limtu pricelessly af ndoa anatangaziwa mtu mwingineee....mna maana ninyi?
Af hizo yutub unazoniwekea naomba bando

Hahahahaaa! you rock for sure.. pole kwa bundle la Jero!

mwambie mwalimu RCT akukopeshe tunnel guru...

btw, mapenzi ndo yalivyo kwa waafrika. uongo mwiiingi! halafu mwingine unaonekana kabisa, lakini mkiambiwa mnadanganywa mnaona vidudu vinawaingilia penzi lenu!

Mi nadhani msiwe mnatoa papuchi mpaka muolewe!.. Hii italeta real men kwenye relationship! sio hawa wa hit and marathon.. lol.

Mapenzi hayana mwenyewe!

 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa! you rock for sure.. pole kwa bundle la Jero!

mwambie mwalimu RCT akukopeshe tunnel guru...

btw, mapenzi ndo yalivyo kwa waafrika. uongo mwiiingi! halafu mwingine unaonekana kabisa, lakini mkiambiwa mnadanganywa mnaona vidudu vinawaingilia penzi lenu!

Mi nadhani msiwe mnatoa papuchi mpaka muolewe!.. Hii italeta real men kwenye relationship! sio hawa wa hit and marathon.. lol.

Mapenzi hayana mwenyewe!



Aaah sasa mi najiunga bando la 250 we unanipeleka utub. Huyo mwalimu RTC ndo nani? Af hapo kwenye red huwa mnakubali sasa....unaulizwa what are u hiding?
 
Last edited by a moderator:
Oya vip unawaharibia madada zetu njia za kpata dau ciunajua madada huwa wanapend vi2 shortcut..........but shortcut is wrong cut
 
Mkuu umenena bigup
mke mwema anatambulika mapema sana...

Hawa wanaoanza kwa mizinga ya kumi kumi mpaka laki kila siku ndo wanaokuja kuwa wezi wakubwa sana wa pesa za waume zao kwenye ndoa.....

Kuna situation inafika, mwanamke akikuomba pesa, unaitoa mwenyewe kwa moyo mmoja, hapo ujue kuna critic reason..

Sio kila time unaomba pesa kwa sababu zisizo na ubongo!..
 
Mimi mwanamke kumpa pesa mpaka afiwe au apate serious problemz......chezea degree y uchumi
 
Hujakosea mdau, ndemu nyingi za bongo zimekaa kinjaanjaa tu, siku hizi ndio style yao hao, all talking the same language!
 
Sasa mnataka tuwaombe hela kina nani?

jisimamie mwenyewe sio kila siku baby hata usgirikiqbo hamna tena nyie kuhongwa mnahongwa sana ila wagumu wa kutoa walau na mwenzio aendelee kukupenda si kila kitu hny mnayafanya mapenzi kuwa magumu kwa kulia lia na tunawachoka mapema ndo maana usingle umekuwa janga ,
mnaiga mambo mengi sana kwa wazungu ila hilo limewashinda.
 
Heee hivi ukilalamika maisha magumu maana yake unataka upewe hela?

kwa KE weka tick kubwaaaa nyie noma mpk tumewachoka. ushirikiano ni mzuri alafu mngelitambua hilo kuwa ME wote tabia hiyo inatukera sana ila hatusemi tu fabya utafiti uje unambie.
 
sasa kama huna msaada unauliza ya nini?" si ufunge kinywa chako....... unajichetua na maswali ya mtego nikwambie mazuri wakati kiuhalisia ni mabaya hapana kwa kweli......''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' nitakujibu maisha yanataka hela na sina hela embu nitumie laki 5 hapo mar moja......

mic chaga hayo.
mnanjaa kma viwazi jeshi ha ha ha! jisimamia kila mwanaume atakuheshimu sio mizinga tyuuu.
vingine bar au club vinaendaga hata cent havina mwisho wa siku vinagegeduliwa hovyo..mmhh! fyuuuuu!
 
Kama mwanamke hawezi kujikimu hata kwa voucher, kuhudumia nywele zake na vitu vidogovigo, kimbia fasta, atakunukisha umaskini "within no time huyo", wanawake bwetezi nouma, na mara nyingi hawajui kukosa na ni mabigwa wa kususa!
 
hiyo mizinga ya watoto wa chuo. Watu wazima hawapigi mizinga siku hizi .
Wadada wa kisasa wanatafuta mabwana wa kuwaoa -akikukamata ni fulu kukupunguzia stress za matatizo yako ya kifedha (hususani fedha ndogondogo za vijana wa mjini-kiweka mafuta kwenye kiverosa na kukaa samaki samaki ama Katalunya kunywa beer 3 za kuzugia)

tena vya hosteli vina njaa kama viwavijeshi huzi nipo zangu kijitonyama mzee mmoja anakitotichake cha chuo akakipigia kije dah!kilikuja na msululu wa watu kama watatu walipofika mzee alitikisa kichwa akamwita wakaenda faragha then wakarudi vikaagiza bavaria then kile kitoto cha mzee simu haziishe mara kitoke kikapokee sinu mara kirudi kidogo wakaaga wakaondoja ni vibavaria vyao mkononi. mmmhh! raia wacha wacheki kama komedy vileeee.
ni shidaaaa!
 
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.

KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''

2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''

3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''

Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

hahaaa suuh
 
ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine sms ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.

kwa mfano:
1. Ukimtumia sms ''mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''

2. Ukimtumia sms ''maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''

3. Ukimtumia sms ''mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... N.k lakini the rest ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''

ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.

Dr. mchunguzi huru (phd)

hawa tunawaitaga vikosi vya mizinga
 
Somtimes vituko wanavyofanya mabinti mpaka mwanaume unaona noma, yani ubongo hauna ushirikiano na upeo kujua wanachofanya ni kujishushia hadhi kabisa!! Kweli kupata mke mwema lazima Mungu akupendelee kwa dunia ya leo!
 
"Nikwambie kitu........, basi d keshokutwa ni birthday yangu, ..........." Kama nina zako! (kata simu, unaingizwa king suun)
 
Ckuizi kizinga cha kwanza wanataka smartphone, we jifanye umekubali uone atakayojichagulia, mademu scavengers noma jamani!!
 
mic chaga hayo.
mnanjaa kma viwazi jeshi ha ha ha! jisimamia kila mwanaume atakuheshimu sio mizinga tyuuu.
vingine bar au club vinaendaga hata cent havina mwisho wa siku vinagegeduliwa hovyo..mmhh! fyuuuuu!

Sawa bosi niwezeshe basi laki 2 tu
 
Sawa bosi niwezeshe basi laki 2 tu

mimi ukianza hivyo tu ndukii! piga mzinga ila ujue usije kumwacha maana ME wajinga kwa kuwekeza na kuna roho fulani ya huruma demu wako akikuomba muda huo utaweka ngumu lkn kwa badae utampa tu . but usimmwage utakula cha moto wewe!
 
Back
Top Bottom