Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Whatever u call it....wanaume hamna jema...unaweza ukajishusha ukawa unashikamana na limtu pricelessly af ndoa anatangaziwa mtu mwingineee....mna maana ninyi?
Af hizo yutub unazoniwekea naomba bando

Hahahahaaa! you rock for sure.. pole kwa bundle la Jero!

mwambie mwalimu RCT akukopeshe tunnel guru...

btw, mapenzi ndo yalivyo kwa waafrika. uongo mwiiingi! halafu mwingine unaonekana kabisa, lakini mkiambiwa mnadanganywa mnaona vidudu vinawaingilia penzi lenu!

Mi nadhani msiwe mnatoa papuchi mpaka muolewe!.. Hii italeta real men kwenye relationship! sio hawa wa hit and marathon.. lol.

Mapenzi hayana mwenyewe!

 
Last edited by a moderator:

Aaah sasa mi najiunga bando la 250 we unanipeleka utub. Huyo mwalimu RTC ndo nani? Af hapo kwenye red huwa mnakubali sasa....unaulizwa what are u hiding?
 
Last edited by a moderator:
Oya vip unawaharibia madada zetu njia za kpata dau ciunajua madada huwa wanapend vi2 shortcut..........but shortcut is wrong cut
 
Mkuu umenena bigup
 
Mimi mwanamke kumpa pesa mpaka afiwe au apate serious problemz......chezea degree y uchumi
 
Hujakosea mdau, ndemu nyingi za bongo zimekaa kinjaanjaa tu, siku hizi ndio style yao hao, all talking the same language!
 
Kwani kazi ya pesa ni nini?
 
Sasa mnataka tuwaombe hela kina nani?

jisimamie mwenyewe sio kila siku baby hata usgirikiqbo hamna tena nyie kuhongwa mnahongwa sana ila wagumu wa kutoa walau na mwenzio aendelee kukupenda si kila kitu hny mnayafanya mapenzi kuwa magumu kwa kulia lia na tunawachoka mapema ndo maana usingle umekuwa janga ,
mnaiga mambo mengi sana kwa wazungu ila hilo limewashinda.
 
Heee hivi ukilalamika maisha magumu maana yake unataka upewe hela?

kwa KE weka tick kubwaaaa nyie noma mpk tumewachoka. ushirikiano ni mzuri alafu mngelitambua hilo kuwa ME wote tabia hiyo inatukera sana ila hatusemi tu fabya utafiti uje unambie.
 

mic chaga hayo.
mnanjaa kma viwazi jeshi ha ha ha! jisimamia kila mwanaume atakuheshimu sio mizinga tyuuu.
vingine bar au club vinaendaga hata cent havina mwisho wa siku vinagegeduliwa hovyo..mmhh! fyuuuuu!
 
Kama mwanamke hawezi kujikimu hata kwa voucher, kuhudumia nywele zake na vitu vidogovigo, kimbia fasta, atakunukisha umaskini "within no time huyo", wanawake bwetezi nouma, na mara nyingi hawajui kukosa na ni mabigwa wa kususa!
 

tena vya hosteli vina njaa kama viwavijeshi huzi nipo zangu kijitonyama mzee mmoja anakitotichake cha chuo akakipigia kije dah!kilikuja na msululu wa watu kama watatu walipofika mzee alitikisa kichwa akamwita wakaenda faragha then wakarudi vikaagiza bavaria then kile kitoto cha mzee simu haziishe mara kitoke kikapokee sinu mara kirudi kidogo wakaaga wakaondoja ni vibavaria vyao mkononi. mmmhh! raia wacha wacheki kama komedy vileeee.
ni shidaaaa!
 

hahaaa suuh
 

hawa tunawaitaga vikosi vya mizinga
 
Somtimes vituko wanavyofanya mabinti mpaka mwanaume unaona noma, yani ubongo hauna ushirikiano na upeo kujua wanachofanya ni kujishushia hadhi kabisa!! Kweli kupata mke mwema lazima Mungu akupendelee kwa dunia ya leo!
 
"Nikwambie kitu........, basi d keshokutwa ni birthday yangu, ..........." Kama nina zako! (kata simu, unaingizwa king suun)
 
Ckuizi kizinga cha kwanza wanataka smartphone, we jifanye umekubali uone atakayojichagulia, mademu scavengers noma jamani!!
 
mic chaga hayo.
mnanjaa kma viwazi jeshi ha ha ha! jisimamia kila mwanaume atakuheshimu sio mizinga tyuuu.
vingine bar au club vinaendaga hata cent havina mwisho wa siku vinagegeduliwa hovyo..mmhh! fyuuuuu!

Sawa bosi niwezeshe basi laki 2 tu
 
Sawa bosi niwezeshe basi laki 2 tu

mimi ukianza hivyo tu ndukii! piga mzinga ila ujue usije kumwacha maana ME wajinga kwa kuwekeza na kuna roho fulani ya huruma demu wako akikuomba muda huo utaweka ngumu lkn kwa badae utampa tu . but usimmwage utakula cha moto wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…