Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

Soma law of demand and supply utanishkuru baadae
 
Mabinti ndio wamekua wa hovyo zaidi
 
Acha ubahili mwanaume rijali haoni shida kumhudumia mrembo aliyevutiwa nae hiyo ni asili kijani huwezi kupingana nayo
 
yaani umegeuka kuwa msemaji na mtetezi wa wanawake kabisa?
 

Na uzuri ni kwamba kutoa pesa si lazima asa sijui huwa wanalalamika kwa sababu gani.
 
Itoshe kusema wew ni Mfalme wa Uongo mkuu kongole kwako.
 
Na uzuri ni kwamba kutoa pesa si lazima asa sijui huwa wanalalamika kwa sababu gani.
Hakuna demu udate naye miaka hii halafu asiombe pesa, labda wale wa kwetu wa Mwaka 47 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…