Mwanamke akikuomba pesa siku ya kwanza ya kukutana kwenu jua hakupendi

Nina dukuduku na mambo mawili je ni kweli kuwa ukimuomba date tu siku ya kwanza anakuomba pesa hata ukimuuliza hawezi kukuambia anaifanyia nn cha maana
Na pili mwanaume mpaka aonekane fala kiasi cha kutomtunuku wakati anahudumiwa na huyo fala naomba ufafanuzi juu ya haya
 
Kmmk apaa Kuna demu mekutana nae Jana nye..ge nye...ge zangu si memuelekeza tuonane akasma Hana nauli mjuba nikatuma mida ya saa 5 na demu ajaja mpaka saizi sema fresh tu demu mkari Alie nipiga
Umekosea kumtumia ilibid umwambie aje akifika utampa na io ndio fprmula yao mtu akiwatumia pesa ya naul hawaji
 
Mwanamke Kuomba pesa siku ya kwanza ni sawa na Mwanaume kuomba sex siku ya kwanza.

Ndio maana kwenye kusawazisha hili,
Wote wanaokutana siku ya kwanza na kulalalana huwa wanauziana huduma.
 
Nilivyo maliza tuu kuisoma hii Tred yako... Mamaaee... Nimeenda futa na ku'block namba ya mtu!... Niliyekutana naeee siku ya 1 na kuniomba elf 50 kisa anadaiwa.... PUMBAVUUUU...
 
Wee km huna pesa, kaa kwa kutulia tyuuh hakuna namna, ila wenye nazo acha wazitumie na ziwazoee. Khaaaaah
 
Vijana toeni pesa, acheni kulialia si ukakamavu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…