Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni sauti ya mwanadada ambaye nimezoeana nae, tu majilani!
Huwa namshirikisha mambo mengi kuhusu mahusiano! Amekuwa ni mshauri wangu sana!
Hivi hiyo kauli ina ukweli ndani yake?
Huwa namshirikisha mambo mengi kuhusu mahusiano! Amekuwa ni mshauri wangu sana!
Hivi hiyo kauli ina ukweli ndani yake?