Mwanamke akikupatia namba yake ya simu, maana yake ameridhia kufanya mapenzi na wewe

Mwanamke akikupatia namba yake ya simu, maana yake ameridhia kufanya mapenzi na wewe

Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni sauti ya mwanadada ambaye nimezoeana nae, tu majilani!

Huwa namshirikisha mambo mengi kuhusu mahusiano! Amekuwa ni mshauri wangu sana!

Hivi hiyo kauli ina ukweli ndani yake?
Jipe moyo
 
Wengi wenu mnasoma na kutoa majibu bila ku reason kwahiyo hamjamuelewa mtoa mada, anachosema ni kweli kabisa mwanamke hatoi namba kwa mtu asiyemkubalii , sasa akishakupa namba sasa hapo kuna mawili ukimpata au usimpate, akikupa namba na akajazingua ni hivi huwa inakua sababu pale awali mwanamke alivyokupa namba alijua unaweza kuzichanga karata zako yani alikuamini akijua utapangilia vizuri hoja zako katika mawasiliano na na kuanza kuonyesha unamjali sasa anakuja kubadili gia baadae baada ya kuona umekua poyoyo kumbe chenga tu, so the intention at first place alikupa namba kwa kuwa alishakuelewa na ukizichanga karata zako vyema unapata mgegedo na hatimae mahusiano na pengine mpaka ndoa, akikutosa ni sawa sawa aliamini mwanzo wewe ni mtu fulani kumbe akili yake ilamdanganya ndiyo matokeo yake anakupa block
 
Namba za wanawake wote ulizonazo kwenye Phone book yako wameridhia kufanya mapenzi na wewe?
Ukielewa kwa umakini utajua kuwa mtoa mada yupo sahihi, uzuri amesema anefanya kautafiti kwa hao hao wanawake shirikisha ubongo wako utagundua ukweli upo wapi
 
Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni
Siyo kufanya mapenzi ameridhia mfanye biashara ya ngono. Siku hizi ni hela yako tu unapata ngono. Wanawake wengi/majority (ILA SIYO WOTE) wanafanya ngono in exchange for money, gifts, properties wengi wanajiuza, ukiona amekubali mawasiliano siyo kwamba AMEKUPENDA au UMEMVUTIA, ni vile kaona unaweza kuchangia kutimiza mahitaji yake, na huo ndiyo ukweriiiii!! Mapenzi hakuna ni sex trade tu sasa.
 
Wacha waendelee kuzipiga Ukraine labda akili zitatukaa sawa
 
Back
Top Bottom