Mwanamke akikupatia namba yake ya simu, maana yake ameridhia kufanya mapenzi na wewe

Mwanamke akikupatia namba yake ya simu, maana yake ameridhia kufanya mapenzi na wewe

MAJIRANI [emoji818][emoji818][emoji818]
MAJILANI [emoji777][emoji777][emoji777]
 
Wengine wanakupa namba kwa ajili ya status viewer wa huko WhatsApp
 
Ndo shida ya utoto,unachukulia kila kitu simple tu
 
Mi sijaelewa Mkuu hivyo hiyo namba anapewa pewa vipi?
Unakuta binti umezoeana nae au huwa unaonana nae pasi na kumsemesha! ila mwisho wa siku unamuomba namba yake ya simu, anakupa chap tena bila iyana! Unampigia jioni yake kumjulia hali! Baada ya siku tatu unamwambia njoo nyumbani tuzungumze kitu, anakuja chap tena ndani ya muda! ila yule ambae naomba namba na anagoma kunipa (ni nadra lakini), hata nimtege vipi aje gheto, hata kama ni kwa ahadi ya kumpatia pesa! Haji hata!
 
[emoji23][emoji23]
Sio tu uswahilini mkuu! Kotekote ambako nimewahi kuishi!
Haijawahi tokea mwanamke anipe namba yake ya simu halafu aninyime papuchi!!
Mkuu hauna hofu ya Mungu mpaka ujihusishe na wanawake wengi? Tafuta mmoja, funga ndoa nawe utaona baraka katika maisha yako.
 
Unakuta binti umezoeana nae au huwa unaonana nae pasi na kumsemesha! ila mwisho wa siku unamuomba namba yake ya simu, anakupa chap tena bila iyana! Unampigia jioni yake kumjulia hali! Baada ya siku tatu unamwambia njoo nyumbani tuzungumze kitu, anakuja chap tena ndani ya muda! ila yule ambae naomba namba na anagoma kunipa (ni nadra lakini), hata nimtege vipi aje gheto, hata kama ni kwa ahadi ya kumpatia pesa! Haji hata!
Mmh
 
Inategemeana,Siku hizi kuna makundi mengi ya wanawake..
 
Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni sauti ya mwanadada ambaye nimezoeana nae, tu majilani!

Huwa namshirikisha mambo mengi kuhusu mahusiano! Amekuwa ni mshauri wangu sana!

Hivi hiyo kauli ina ukweli ndani yake?
Kumbe ndo maana mpya ya kutoa namba ya simu?? Haya makubaliano yalifikiwa kwenye kikao kipii??
Itabidi nisiwe na gawa namba kama hii ndo maana yake
 
Back
Top Bottom