Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Wambie haoNishapewa namba na madem kadhaa wenye mabwana zao. Nikaishia kupigwa bluetick, wanawake sio rahisi hivyo unavyodhani.
Sawatu majilani
Kweli kabisa na wanawake wa dizaini once akikupa namba harakisha mchakato wa kuchakata uki delay tu utafanywa saccosAkikupatia namba, maana yake uwe tayari kugharamia majukumu; ukishindwa unapigwa chini.
Hunting is not easy as u think!Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni sauti ya mwanadada ambaye nimezoeana nae, tu majilani!
Huwa namshirikisha mambo mengi kuhusu mahusiano! Amekuwa ni mshauri wangu sana!
Hivi hiyo kauli ina ukweli ndani yake?