Mwanamke akikutamkia maneno haya, anakuwa amejirengesha 101%; hachomoi

Nipe mbinu ya kujizuia, zaidi ya mazoezi ya kegel kuna nini kingine?
Alafu bro muhimu si unapiga kila sehemu, kila ukuta au kuna maujuzi mengine?
Kujizuia huwezi kuanza kwa siku moja tu ukafaulu mkuu. Unatakiwa uanze kufanyya practice taratibu hadi utakapokuwa perfect. Mbinu mojawapo ya kujizuia ni kupiga mapigo ya taratibu. Ukihisi wazungu wanakaribia kufika kichwani unapunguza mapigo au unasimama kidogo. Kuna chuma naitafuta hapa nikiipata nitakusogezea uisikilize mwenyewe mkuu
 
TUnaweza kuhitimisha hilo?

Nimalizie....usisex na mwanamke kwa muda ambao wewe unamhitaji zaidi lkn yeye hakuhitaji au hayuko tayari kusex...unaweza kupoteza heshima yako bure
Kivipi mkuu? Kuna wakati mwanamke wangu anakuwa hana mood ya sex lakini namtia kasi hadi anatamani nisishuke kifuani.
 
Kujizuia huwezi kuanza kwa siku moja tu ukafaulu mkuu. Unatakiwa uanze kufanyya practice taratibu hadi utakapokuwa perfect. Mbinu mojawapo ya kujizuia ni kupiga mapigo ya taratibu. Ukihisi wazungu wanakaribia kufika kichwani unapunguza mapigo au unasimama kidogo. Kuna chuma naitafuta hapa nikiipata nitakusogezea uisikilize mwenyewe mkuu
Ukipata nisikilizishe.
 
Lengo lako lilikuwa kutujulisha mkojozo wako au nini??? Unahisi wew ndo shabbily pekeako ina maana wanawake wote tukuachie wewe??
 
Andiko halijakaa sawa. Limekaa kizinzi sana ... (Story za vijiweni) kichwa habari na mada vinakinzana kidogo
 
Mkuu soma vipengele vyote usiishie tu kusoma kipengele kimoja na kupanic bila sababu
 
Andiko halijakaa sawa. Limekaa kizinzi sana ... (Story za vijiweni) kichwa habari na mada vinakinzana kidogo
Soma utafiti....achana maneno mengi mkuu
 
Back
Top Bottom