Unwanted pregnancy huwa inachange kutokana ma situation. Mnaweza kukubaliana mzae, baada ya miezi miwili ukafukuzwa kazi. Tusidanganyane, ukimpa binti yangu mimba, unaitunza kwako/kwenu la sivyo nagharamia kuitoa. Mtoto ni liability ujue
Em nipeni sababu ya msingi ya kutoa mimba ili niwaelewe, mambo ya kufukuzwa kazi ndio utoe mimba hy sababu hainiingii akilini, kwann usiseme uache kuishi mana umefukuzwa kazi.Yu are right
Sometimes there no any other option rather than abortion
It's not a crime if the decision is made right....
Hiyo ishu haina muongozo, hata kuzaa kwa operesheni wanasema mwisho ni mimba tatu lkn sio muongozo Ila n kumlinda Mwanamke.U
Uongo nasikia mwisho 3,kumi tena
UhakikaKaaa nimeishiwa pozi kwa siti.
Sababu kubwa ni kutokuwa tayari kulea au kujenga futureEm nipeni sababu ya msingi ya kutoa mimba ili niwaelewe, mambo ya kufukuzwa kazi ndio utoe mimba hy sababu hainiingii akilini, kwann usiseme uache kuishi mana umefukuzwa kazi.
Mkinambia umetoa mimba kwasababu madaktari wameona n vyema ifanyike hvy ili kuokoa uhai wa mwanamke hapo ntawaelewa.
Hii lugha nikiiweza nitaichafua JF kwa nyuzi ambazo mtanzania wa kawaida hana uwezo wa kuzisoma.Tumia Duolingo
Any unplanned pregnancy ni bahati mbayaMaana yake, ww pia usingezaliwa.
Huwezi kushika mimba afu useme n kwa bahati mbaya wakat mlipokuwa mnalombana mlikuwa Mnajua n nn mnafanya hapo.
Tutatumia chagpt ku.referHii lugha nikiiweza nitaichafua JF kwa nyuzi ambazo mtanzania wa kawaida hana uwezo wa kuzisoma.
Kama yakuzaliwa kwake ingetolewa asinge existkuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
Usinge exist kama wangetoa yakoKutoa mimba ni njia Moja wapo ya family planning
Whatever the caseSababu kubwa ni kutokuwa tayari kulea au kujenga future
Katika maisha we need to sacrifice something/people to be where we want or to get something / be in different places
Sacrifice inahitajika ...
.
(Aina ya sacrifices)
.let's say 14yr old Binti inabidi a sacrifice mimba ili aendelee na masomo
2. Mwingine at sacrifice kwa hofu ya kubaki single Maza
3... Mwingine at sacrifice ili ajenge future kwanza
4......Mwingine atasscrifise ili kuepukana na kuwa criticized
And etc
ExactlyAnakutishia au anakutaarifu? ? ?
Mnaona akili za watu wa karne ya 21? ? ? Na bado hamuani kuwa no kizazi cha mwisho.
Abortion is modern day child sacrifice. Demonic.
And please these demonic women unapologetically flaunting killing their babies do not represent women. They represent demons. Demons in human form.
Some are not even women, unakuta mtu na makende yake mawili anajipostia...
Mkuu ngoja nami nianze kumrejelea chatgpt.Tutatumia chagpt ku.refer
I could be existingUsinge exist kama wangetoa yako
😹😹any evidenceWhatever the case
Ila kutoa mimba inakuwa laana kwa mwanamke
Sawa ndegeMkuu ngoja nami nianze kumrejelea chatgpt.
Which curse are you talking about and yet there is cleansing 🤔Whatever the case
Ila kutoa mimba inakuwa laana kwa mwanamke
Pamoja sana bibie.Sawa ndege