Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

Demu wako/mke wako/mchepuko akikwambia ana mimba muamini 100% ila anakua tu anataka kutoa.baadae utaskia nlikuwa nataka tu kuona utakavyo nijibu . .

Wadau skuizi wanawake wanajua kutoa mimba yaani kuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
Hili swala Pana sana hapo umeleta joja tuijadili sio itimisho.
 
Unajua mambo mengine yanapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa sana, hebu chukulia mfano kama mzee wako angekuwa muumini wa kipande cha soap kama burudani yake akakumwaga chooni ukaenda na maji au mama yako akakuchomoa kama hivyo leo hii ungekuwepo hapa unapakia na kugonga like hapa JF?
Hoja zingine bhana, sasa nichukuliaje wakat nisingekuapo na mambo ya dunia yasingenihusu. We umesikia huko ziloko hizo sperm zinaishi kwa matesa na kulaum?
 
Back
Top Bottom