secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kwa sababu majibu yako yanifurahisha na kunifariji.Ila ndege mbona unaongea sana leo😅
Kwa sababu majibu yako yanifurahisha na kunifariji.Ila ndege mbona unaongea sana leo😅
Wote tumesoma Luanda magere we are sailing on the same boat😂Sasa kimbilia chatgptKwa sababu majibu yako yanifurahisha na kunifariji.
ChatGPT wangu ni wewe from now on 😂.Wote tumesoma Luanda magere we are sailing on the same boat😂Sasa kimbilia chatgpt
Kwani mkuu huyo ndo shemela au vp, mbona kimyakimya hatuambiani?Siku moja utaniota na utashangaa, kisha utaleta ushuhuda humu.
😂Ila we jamaaaChatGPT wangu ni wewe from now on 😂.
Huyu nikawaambia mtaniibia na kuibua tafrani maana ameumbika haswa.Kwani mkuu huyo ndo shemela au vp, mbona kimyakimya hatuambiani?
We unaonaje mkuu? 😂😂Ila we jamaaa
Ni sawa😂magereWe unaonaje mkuu? 😂
Chai☕Huyu nikawaambia mtaniibia na kuibua tafrani maana ameumbika haswa.
✅✅ 💪Ni sawa😂magere
Kwani uwongo? 😀Chai☕
UongooKwani uwongo? 😀
Mimi ni mtakatifu sijawahi kuwa mtakabifu kutoka pale Mt Andrew siwezi kukuibia ndugu labda anitegee paja na wowowo mbele yangu, ila mkuu naona umedata kweli sijawahi kuona upo bize sana na uzi mmoja kiasi kwamba unashindwa kupata muda wa kuchungulia nyuzi nyingine, muhimu angalia usije kata moto mapema mapenzi ni sumu kali kuliko ya panya.Huyu nikawaambia mtaniibia na kuibua tafrani maana ameumbika haswa.
Hapana bhana mkuu 😔.Uongoo
Niko radhi kuangamia kisa huyu shory mkuu. Potelea pote Mimi nafuata kile roho yangu inapenda.Mimi ni mtakatifu sijawahi kuwa mtakabifu kutoka pale Mt Andrew siwezi kukuibia ndugu labda anitegee paja na wowowo mbele yangu, ila mkuu naona umedata kweli sijawahi kuona upo bize sana na uzi mmoja kiasi kwamba unashindwa kupata muda wa kuchungulia nyuzi nyingine, muhimu angalia usije kata moto mapema mapenzi ni sumu kali kuliko ya panya.
Dah unabisha nnHapana bhana mkuu 😔.
Nabisha nabisha.Dah unabisha nn
Kila la kheri zako, natumaini sitakosa mualiko wa ubwabwa, japokuwa sina undugu na mashekhe ubweche!Niko radhi kuangamia kisa huyu shory mkuu. Potelea pote Mimi nafuata kile roho yangu inapenda.
Kipenda roho hula nyama mbichi.
Lazima nikualike mkuu 😂.Kila la kheri zako, natumaini sitakosa mualiko wa ubwabwa, japokuwa sina undugu na mashekhe ubweche!
Bahati mbaya zipo mkuu. Binafsi naamini kutoa mimba kwa sehemu kubwa ni ujinga ukiachilia mbali suala la maadili. Ila pia natambua kuwa mimba zitatolewa sana tu. kwasababu tunatofautiana mitazamo.Binafsi sijawahi kumponda single mother Hata siku moja humu.
Point yangu iko pale pale mana hujaijibu, kama una uwezo wa kutoa mimba kwann usitumie njia za kuzuia mimba?
Kuna kalenda, kondomu, vijiti nk kama unataka utamu c utumie kalenda ili usiweze kupata mimba na utamu unaoutaka uko pale pale.