Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
"My body my choice" au siyo? Kuna watu mna misimamo mikali sana.Kutoa mimba ni njia Moja wapo ya family planning
"My body my choice" au siyo? Kuna watu mna misimamo mikali sana.Kutoa mimba ni njia Moja wapo ya family planning
Mallerina achana naye huyu Mbaga Jr hayupo seriousEm nipeni sababu ya msingi ya kutoa mimba ili niwaelewe, mambo ya kufukuzwa kazi ndio utoe mimba hy sababu hainiingii akilini, kwann usiseme uache kuishi mana umefukuzwa kazi.
Mkinambia umetoa mimba kwasababu madaktari wameona n vyema ifanyike hvy ili kuokoa uhai wa mwanamke hapo ntawaelewa.
Sawa
mipaka lazima iwe kwnye choices pia"My body my choice" au siyo? Kuna watu mna misimamo mikali sana.
Unashindwa kunipa fact, unanipa taarabu
Watajua wnyw.Bahati mbaya zipo mkuu. Binafsi naamini kutoa mimba kwa sehemu kubwa ni ujinga ukiachilia mbali suala la maadili. Ila pia natambua kuwa mimba zitatolewa sana tu. kwasababu tunatofautiana mitazamo.
Usivue chupiAje kula kokoto better I end my generation rather than to accept '"mtoto huja na sahani yake""
Hakuna mimba za bahati mbayaAny unplanned pregnancy ni bahati mbaya
Wanobakwa je inakuwa ni kupenda kwao kuwa na mimbaHakuna mimba za bahati mbaya
wanaobakwa na special caseWanobakwa je inakuwa ni kupenda kwao kuwa na mimba
Sawawanaobakwa na special case
sio bure wewe ni single mother.Sa unataka watu wazae na hawataki ????
This generation is full of funny men who criticizes women for aborting?! Hivi sio nyie ambao mnawapondeaga single mothers humu jamii forum...
Eeeeeeeh hujakoseasio bure wewe ni single mother.
Wengine kwa mwaka wanatoa mara 5Mimba 5 kuna binadamu kweli hapo?
Huo siyo ubinadamu ni ushetani.Wengine kwa mwaka wanatoa mara 5
Kawaida kama anakua ana ziwahi haku shida, kuna wengine utakuta Mimba zinaharibika zenyewe zikifika miezi 3.Mimba 5 kuna binadamu kweli hapo?
Hiyo kusema zinatoka zenyewe huo ni ushirikina.Kawaida kama anakua ana ziwahi haku shida, kuna wengine utakuta Mimba zinaharibika zenyewe zikifika miezi 3.
Ushirikina kivipi mkuu?Hiyo kusema zinatoka zenyewe huo ni ushirikina.
Kama huna uelewa na mambo ya dunia ya tatu unaweza kuchukulia mambo kiwepesi sana ila ukweli wapo watu wanaoendesha hiyo mechi wamekaa wametulia tu.Ushirikina kivipi mkuu?
Mimi nilikua na mpenzi wangu kila akishika ujauzito ukifikia miez 3 unaharibika yani mimba tatu zilikua zinaharibika, hospital wanasema ni stress