Kwema wakuu
Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako.
Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na sijawahi gombama nae tena huyu peke ndo alijua udhaifu wangu. Ila hawa wengine bado wanateseka sana maana nakuwa navisirani saana.
Naombeni msaada hii hali siipendi kabisa
Note hela ninazo sema sio nyingi. Ni kiasi