Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
- Thread starter
-
- #41
.........Upande wa mavazi huwa sipendi mtu aniingilie, navaa mimi nipendavyo.
........Hili swali lako limekaa kiuchokozi.Ila unapenda uingiliwe upande gani?
........Hili swali lako limekaa kiuchokozi.
........Hili swali lako limekaa kiuchokozi.
Lijibu basi....niPM jibu lake.
Binafsi navaa nijipendezeshe, siyo kuwa kuvaa nguo vupi ndo kupendeza laa!..kuvaa nguo inayoendana na umbo langu na niwe huru nayo!..
Raha sana kupendeza na kujijua leo kuna vazi nimevaa na nimelipuka!..
.........Upande wa mavazi huwa sipendi mtu aniingilie, navaa mimi nipendavyo.
Mmmh!! kwa njia hiyo shem maana ni swali tata
Utata uko wapi shem? au na wewe hupendi kuingiliwa kwenye upande wa mavazi?
hamna anayeniingilia kwenye mavazi.........
mtapigwa talaka nyie........... shauri yenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
AK
du mbona kazi!..tutapambana humohumo nikishajoin wisteria lane)):
ha, hujajin tu?????????, mbona unaongea kama una bonge la experience!!!!!!!!!
ha, hujajin tu?????????, mbona unaongea kama una bonge la experience!!!!!!!!!
Kwenye uhusiano niliopo tu experience ni tosha mana full makeke!..Tofauti tu ni kuwa ndoa ni kitanzi zaidi na mnakuwa mmefungwa na kiapo...Yanayojiri mengine yanaendana!!
.........Hakuna cha kupigwa talaka wala nini,inategemea na jinsi alivyonikuta napendelea kuvaa mavazi ya aina gani.mtapigwa talaka nyie........... shauri yenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!11