MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
Mie binafsi niliyaelewa sana maamuzi aliochukuaga marehemu mzee Reginald Mengi ya kuoa kigoli na kuzaa uzeeni, sababu haya matoto mengine yakishakua makubwa ni shida tupuHilo nimeliona na kulisikia kabisa!!
Bado wadogo wanaambiwa baba yenu anahonga,mara hatoi matumizi,mara vyoote amejenga yeye isipokua pagala na banda,mara miradi Fulani Fulani iliyoanzishwa na baba inauliwa Kwa hujuma,mf. Kuku waliobandani wanaletwa kuku wenye ugonjwa ili waambukizwe wafe na kweli wanakufa kisa eti aikiuza anaweka Hela mfukoni Sasa sijui aizitupe hewani!!?
Kifupi wanawake ni wajinga sana mkuu!!
Wanajua fika baraka zinatoka kwa baba halafu wanamtesa huyo baba wakiamini watakua salama na mama yao!
Kule karagwe nilikuta familia Moja ya Babu na bibi wamezika watoto wote,kisa Mzee alipowasomesha na kupata kazi,mama alisambaza sumu kwa watoto wakamchukia Mzee,Mzee alipokasirika akalaani watoto wote watano wakaanza kupata ajali za magari wakafa wote wakazikwa Ili wabaki peke yao kama walivyoanza maisha coz watoto walionekana ni tatizo kwenye mahusiano yao!!
Ndio maana wazee huoa tena baada ya kuona mama na watoto wanazingua!!
Wanawake wakiacha umeingia katika uzee age 60+ wanaanza kujaribu kukuua .
Akishindwa mbinu zake anaanza kutumia Watoto ambao mmewapata .
Sasa wewe Kama Baba usipokuwa makini utashangaa unaanza kutengwa na watoto bila kujua Sababu ni nini .
Mimi ilikosa kidogo nimpoteze Mzee wangu Ila niliamua kuingilia hii VITA kwakuwa Mimi ni mtaalamu wa kumsoma MTU mbaya na kumuua kimya kimya so nilifanya hivyo.
Wanaume kuweni makini Sana na wanawake hasa unapoona umeelekea uzeeni na Una Mali kadhaa chance .
Hawa watoto ni wajinga Sana Mimi ndugu zangu walifanya coalition kumuua mzee Ila hawakufanikiwa kwakuwa nilizitambua mbinu zao mapema na nikawaambia hamtafanikiwa .
Walianza Kumnyima chakula nikawa nampatia Chakula bora kutoka hotelini
Wakaanza kumfukuza kwa Nyumba nikamjengea Nyumba ya kisasa pembeni ya lile ghofu walilokuwa wanamfukuza
Wakaanza kum torture kisaikolojia nikamwambia asiwajibu
So hii hali wanapatia wanaume wengi
Kuweni makini na wanakwake na watoto wako wakiwa vilaza watapewa sumu ili kuue.
Mkuu @ multaza hr uliwa ua vipi kimya kimya, hebu fafanua hapo mtaalam.Wanawake wakiacha umeingia katika uzee age 60+ wanaanza kujaribu kukuua .
Akishindwa mbinu zake anaanza kutumia Watoto ambao mmewapata .
Sasa wewe Kama Baba usipokuwa makini utashangaa unaanza kutengwa na watoto bila kujua Sababu ni nini .
Mimi ilikosa kidogo nimpoteze Mzee wangu Ila niliamua kuingilia hii VITA kwakuwa Mimi ni mtaalamu wa kumsoma MTU mbaya na kumuua kimya kimya so nilifanya hivyo.
Wanaume kuweni makini Sana na wanawake hasa unapoona umeelekea uzeeni na Una Mali kadhaa chance .
Hawa watoto ni wajinga Sana Mimi ndugu zangu walifanya coalition kumuua mzee Ila hawakufanikiwa kwakuwa nilizitambua mbinu zao mapema na nikawaambia hamtafanikiwa .
Walianza Kumnyima chakula nikawa nampatia Chakula bora kutoka hotelini
Wakaanza kumfukuza kwa Nyumba nikamjengea Nyumba ya kisasa pembeni ya lile ghofu walilokuwa wanamfukuza
Wakaanza kum torture kisaikolojia nikamwambia asiwajibu
So hii hali wanapatia wanaume wengi
Kuweni makini na wanakwake na watoto wako wakiwa vilaza watapewa sumu ili kuue.
Huyo babu yako mwenye 107yrs mtafute Mirradayo akachukue Content hapo Mkuu kwakuwa huo umri sio mchezo then itakuwa njia nzuri ya kutunza KumbukumbuWanaume niwambie kitu,oa zaidi ya mke mmoja,zalisha watoto, maana sio wote watakutenga,
Mfano hai, nina babu yangu now ana 107yrs,ana watoto 12,kuna baadhi ya watoto wapo upande wa bsbu na wengine upande wa mama zao,kwasasa babu hana mke wake wote walikufa,kabaki babu analelewa na wanae.
Eti eeeh,kwakweliHuyo babu yako mwenye 107yrs mtafute Mirradayo akachukue Content hapo Mkuu kwakuwa huo umri sio mchezo then itakuwa njia nzuri ya kutunza Kumbukumbu
Kama mzee hana hela yeye ni ulevi tu na kila kukicha anamgombeza mama?,,,unatakiwa uwe na hekima usibalance kokote kuleee,,,,na kibaya unakuta hadi litoto la kiume limegandana na mama ake kumzingua mzee bila kujua na yeye siku atakua baba
Anamfanyia figisu mzazi wako halafu anataka ushiriki matatizo ya kwao!!Hatari sana, wanawake wabinafsi sana