Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
mh
Umri wa uzee wote huo kipya kipiNdiyo maana nikimkuta mzee yeyote bar anatongoza bar maids uwa namsaidia akubaliwe maana najua wanapitia magumu sana huko majumbani
Watu waliamlaumu Mengi lakini he was right kabisa Pengine bila Kuoa Kigori vile na Kuwa na wale twins angekufa kabla ya Muda,Mie binafsi niliyaelewa sana maamuzi aliochukuaga marehemu mzee Reginald Mengi ya kuoa kigoli na kuzaa uzeeni, sababu haya matoto mengine yakishakua makubwa ni shida tupu
Sitaki ubishani nipo kisutu kwasasa .Umri wa uzee wote huo kipya kipi
Stress za baba mwenye mji huzijui wewe.Kama mzee hana hela yeye ni ulevi tu na kila kukicha anamgombeza mama?,,,unatakiwa uwe na hekima usibalance kokote kuleee,,,,
Piga dua la nguvu mambo yaende tupate habari mpya.Sitaki ubishani nipo kisutu kwasasa .
Nitafute saa tisa tubishane vizuri kaka
Exactly, ndio maana mimi huwa nikiona mtu anajudge situation fulan namuuliza "What in your life experience certifies you to judge this situation?" Sababu wengi unakuta hata hawajayaona au kuyagusa maisha ya watu wenye umri huo lkn ni kuropoka tuWatu waliamlaumu Mengi lakini he was right kabisa Pengine bila Kuoa Kigori vile na Kuwa na wale twins angekufa kabla ya Muda,
Wanawake waki team up na watoto haijalishi wewe ni tajiri au masikini lazima Upate physcological torture mzee
Nyomi ni kubwa kaka,ila hii kesi bwana imenifurahisha na kunitoa machozi kwa wakati mmoja .Piga dua la nguvu mambo yaende tupate habari mpya.
Vipi nyomi huko
Nami nakazia hapo hapo, KATAA NDOAMimi nakazia kwenye KATAA NDOA, LINDA KIBUNDA CHAKO.
Waache wafu wakimbize upepoNyomi ni kubwa kaka,ila hii kesi bwana imenifurahisha na kunitoa machozi kwa wakati mmoja .
Nimefika hapa saa mbili tukiwa katika mimbali za mahakama nakutana na boss wangu wa zamani katika uniform zake za damu aliyekuwa anashinikiza nifie keko magereza .
Hawezi hata kuniangalia usoni zaidi namuona anakishangaa kitambi changu kimetoka wapi .
Huku namuona lissu anacheka na kutabasamu kama hakuna kinachoweza kutokea ilihali ikodhibitika atanyongwa yaani ni burudani na majonzi kwa wakati mmoja .
Muachieni lissu wa watu
Mkuu unakaufala ujue😂 ukiwa na miaka kama 50+ alafu game la Maisha linakuendea poa madogo wanamitikasi Yao alafu mama zao walizingua ukaamua kuishi mwenyewe ni poa pia.Mimi nakazia kwenye KATAA NDOA, LINDA KIBUNDA CHAKO.
Imagine umezeeka let's say 60yo. Huna mke ila watoto kama woote tena kwa mama tofauti tofauti ila woote unawalea wewe.
Una miradi kibwena, inakuingizia pesa, umejenga ki apartment chako kikaliiii pande za morogoro milima ya uluguru kule juu kabisa, una pick up yako kwa ajili ya mishe za hapa na pale.
Ukiskia nyege ni simu moja tu kwa dem first tier, au pisi kali kama kajala huwezi kukataliwa
Mungu akupe nini tena? Akupe mke ili akuvuruge?
Hizi ni pombe za jumatatu, kajala ni pisi kali? Mnyenzau pisi kali kama kajala huwezi kukataliwa
Sio pombe, bali inatokana tu mtazamo wa mtazamaji.Hizi ni pombe za jumatatu, kajala ni pisi kali? Mnyenz