Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
Ukweli mchungu Sana huu
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKOIntelligent businessman njoo ushauri wewe mkuu sisi tumechoka 😂😂😂
Maisha unayalindaje bila ndoa??KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
Nasikia ndoa Zina kelele na ugomvi sana, hivyo staying single help'sMaisha unayalindaje bila ndoa??
Ingia uone,usisikilize maneno ya watu.Nasikia ndoa Zina kelele na ugomvi sana, hivyo staying single help's
Stress za baba mwenye mji huzijui wewe.
Ulevi mara nyingi ni kwa sabb ya stress, mtu una stress za kazi, majukumu na bado mke anakuongezea stress mwisho kimbilio ni ulevi.
Hata kina baba ni binadamu, na kila binadamu ana udhaifu wake. Shida madhaifu ya mama zenu mnayavumilia lkn ya baba zenu mnayakuza. Kuna jamaa mmoja mpuuzi sana, alifikia hatua hadi anamnunulia mama ake gari kisa baba ake alikua ana gari chakavu toka miaka hio. Kuna vijana wa kiume ni wapuuzi sana.
Naingia na nani?, ikiwa watu wenyewe ni zig zag ka album ya kihindi.Ingia uone,usisikilize maneno ya watu.
Eti umeomba rohoNaingia na nani?, ikiwa watu wenyewe ni zig zag ka album ya kihindi.
(Mpaka ulazimishe) Mfano nili omba namba sehemu nika onekana Kama nime omba roho.
Na mimi kulazimisha jambo sio style yangu, Wana sema ukimya nao ni jibu.Eti umeomba roho
🏃🏃🏃🏃🏃
Ooooh muoneNa mimi kulazimisha jambo sio style yangu, Wana sema ukimya nao ni jibu.
I mean no malice to nobody
Ohh ko mimi ndiye mgomvi!Ooooh muone
Ujue labda hajakuona au kukusikia,hivyo kubisha hodi mara ya pili sio kelele.Ohh ko mimi ndiye mgomvi!
Wewe uki omba maji nyumba fulani, ila wenye nyumba waka kaa kimya ndani.
Je uta fanya nini, au maana yake Nini?
🤔 Sawa nita jaribu kurudi hiyo sehemu Mwakani.Ujue labda hajakuona au kukusikia,hivyo kubisha hodi mara ya pili sio kelele.
Sio mbali pia🤔 Sawa nita jaribu kurudi hiyo sehemu Mwakani.
Sijui kwanini jirani yangu ana piga nyimbo ya love yourself by Justin BieberSio mbali pia
Mimi ni mkristo aisee ila natamani nioe wake watatu ila nawaza nitafungaje ndoa?Wanaume niwambie kitu,oa zaidi ya mke mmoja,zalisha watoto, maana sio wote watakutenga,
Mfano hai, nina babu yangu now ana 107yrs,ana watoto 12,kuna baadhi ya watoto wapo upande wa babu na wengine upande wa mama zao,kwasasa babu hana mke wake wote walikufa,kabaki babu analelewa na wanae.