Mwanamke akitaka kukuua anatumia watoto zaidi

Kuna wazee wengi siku hizi wana akiba zao za siri UTT hamna anaye zijua, wanakwambia hizo akiba ndizo zitakazo walea uzeeni,yaani kishaona kwenye familia kwamba hawato mjali na utakuta ana assets nyingine ambazo anazijua yy tuu.Ndio maana hata ulaya kuna lundo la wazee mali zao hawaja waandika watoto wao, bali wameamua kudonate kwa wasio jiweza. Ukirudi kwenye takwimu worldwide wanao ongozwa kukumbwa na mental health ni wanaume........ halafu uje kupata mke kichomi ndio kabisa wanakuvuruga. Msiwaone wengine wanashinda bar na kurudi home mida mibovu na wanadamka mapema kwenda makazani ukazani ni wajinga, wanaume wengi wana mengi ya kuongea ila wame ya hifadhi vifuani.

Naona hata siku hizi wanaharakati waliokuwa mstari wa mbele kupambania haki za wanawake, usawa wa kijinsia wameshtuka na kushtuka kwao kuna kuja baada ya kupata mtoto wa kiume, wanajaribu kuproject future ya mtoto na jamii ya sasa iliyo msahau mwanaume wanaona wamekosea sana.

China sasa hivi wanaume kama wamegoma kuoa,ndoa zimedrop mwa asilimia ishirini 2024,sababu ni zile zile za kila siku. Makampuni ya mapambo wanadai mwaka 2012 walikuwa na tenda zaidi ya 1000+,ila mwaka jana 100+.Rate ya talaka zimongezeka mpaka nazo zimetengeneza kiwanda, kuna kampuni kazi yake ni kuharibu zile memory za ndoa,sijui picha nguo nk na jamaa anakwambia kwa mwaka anapiga mpaka tenda 5000+.

View: https://m.youtube.com/watch?v=JNI_Fu3C6og
 
Kuna wazee wamezidi kuzingua ,,,,nina uncle wangu mmoja alistaafu akapewa kinua mgongo ile hela yote aliyopata akapeleka kwa mchepuko nyingine akanunua gari hata miaka miwili haijaisha ,amefilisika hana hata mia na gari yake ameiuza

akaamua kurudi kwa mke wake sasa yeye kazi yake ni kuomba elfu 5 na kwenda kunywa pombe akirudi anamgombeza mno shangazi ,shangazi yeye ni mkimya na bado akiwa na hela anampa jamaa
NB;katika mtu hapa duniani ambae alioa wife material uncle wangu ni mmoja wapo
 
Hii ni chai tu,tupo kwenye jamii na hayo ni kwa wachache sana.mzee akiumwa tu familia inachanginyikiwa hata awe mzee vp.watoto wanachangishana hado wanakopa kuokoa maisha ya mzee wao.
 
Mimi ni mkristo aisee ila natamani nioe wake watatu ila nawaza nitafungaje ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…