Mwanamke akiwa na mkia anajiamini kuliko mwenye degree

Mwanamke akiwa na mkia anajiamini kuliko mwenye degree

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Eti ni ya kweli haya ?
Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu.

Haya mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa 🍑?

giphy.gif


Vipi wanawake wenye makalio makubwa, huwa mnapata special treatment kwa ajili ya maumbo yenu au ni usumbufu tu?

PS:
Sisi mashangazi, ndiyo tuna matumbo ila msituchukulie poa 👇🏼
giphy.gif
 
Back
Top Bottom