Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wewe angalia hata ninyi wanawake, mnatoa hela muongezee tako huko mloganzila. Ebu tuambieni ukiwa na tako wanaume huwa wanalifanyia nini?Tumalize huu ubishi, eti ni ya kweli haya ?
Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu.
Hata mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa 🍑?
View attachment 3236245
Vipi wanawake wenye makalio makubwa, huwa mnapata special treatment kwa ajili ya maumbo yenu au ni usumbufu tu?
Kadhi Mkuu 1 , wewe ni mmoja kati ya waleta hoja kwenye zile nyuzi zangu. Hebu njoo utoe ya moyoni!
PS:
Sisi mashangazi, ndiyo tuna matumbo ila msituchukulie poa, unaona mambo yetu hapo chini 👇🏼
View attachment 3236244
Kama umejaaliwa ebu njoo pm uone kazi ya msambwanda.